University Of Dodoma Vs NASA

safi saana!! tunaanza kidogokidogo...!! naomba viongozi wa UDOM huo ugeni wautumie vizuri...
 
USIANDIKE USICHOKIJUA, THEN UMEULIZA DIRECT KAMA KUNA COLLEGE OF SC. N TECH. WHAT ABT OTHERS? UDOM IPO HADI COLLEGE OF EARTH SCIENCES NA INATOA UNDERGRADUATE DEGREE ZISIZOPUNGUA 90 UNDER BEST LECTURERS FROM EUROPE AND RUSSIA!:glasses-nerdy:

acha kutudanganya BWANA, UDOM bado chuo kichanga sana
 
Ninafahamu kwa ukaribu sana Kuwepo kwa ushirikiano kati ya Udom na NASA. siyo ajabu lakini mpaka sasa sijajua wanashirikiana na cho kipi-college
 
mh!:confused2: Punguza chumvi mkuu. Niko pale but hiyo collage siijui, labda uniambie kuna course ya earth science.

hujui chuo cha madini kinabadilishwa na kuwa college ya udom (college of earth sciences)?? Labda upo first year na hujafuatilia vya kutosha!!
 
mh,jamani kama hauna uelewa na kitu bora usichangie,kwani ujinga wa mtu apotoa wazo
 
Mh!:confused2: Punguza chumvi Mkuu. Niko pale but hiyo collage siijui, labda uniambie kuna course ya earth science.

college of earth science ipo pale na inaofer degree za mining engineering, mineral processing, geology, na petroleum engineering na hao madogo 2nafanyanao kaz katk field zao and they competent enough tofaut na fikra za mliowengi. Binafsi nmeanza kukiheshm hcho chuo kama si college of earth science na nnajua mtakuja hapa na ubish usio na fact ila ukweli utafahamika2 in few years to come.
 
wewe ni tutorio asistant hapo udom nini?!!
 
Mwenye More info regarding this atupe! kuna wageni wawili kutoka NASA Marekani wapo Dodoma wamekuja jana watafanya presentation na ku-form partnership Na University, ila hawakutaka kutoa more info zaidi ya kusema watch the news this week! najua watachuja sana kwenye news :A S 39:
Mwenye nazo atupe...this is kinda good...

Uki-google neno NASA utapata institutions nyingi ikiwemo National Auto Sport Association hivyo nafikiri ni NASA hii na sio ile ya aeronautics ya superpower!!
 
Mwenye More info regarding this atupe! kuna wageni wawili kutoka NASA Marekani wapo Dodoma wamekuja jana watafanya presentation na ku-form partnership Na University, ila hawakutaka kutoa more info zaidi ya kusema watch the news this week! najua watachuja sana kwenye news :A S 39:
Mwenye nazo atupe...this is kinda good...[/QUwapo kwny mchakato wa ujenzi wa kitu kituo cha ku_download satellite imageries direct( Direct Satellite Downloading Centre) tuna miundombinu mikubwa sana ya Teknohama ktk Afrika ingawa utumikaji wake bd haujawa na tija ktk social_ecomic dev
 
sijui kwa nin watu wanaponda hiki chuo..mbona kiko fresh jaman!!!!!!!!!!!!
 
kwani hao jamaa wa udom wanayo collage of science and tech. or something like that...au kuna uwalimu na arts peke yake...manake hata sheria sina uhakika kama wameshaanza kuoffer...

hivi wewe unaishi Dunia ipi? UDOM wanzo COLLEGE SITA ZENYE KUTOA DEGREE PROG ZIPATAZO 99. SOMA WEB YAO UTAONA
 
ni ulimbukeni na ni kiasi gani wabongo tunarudisha maendeleo nyuma!!!!
 
Rais wa IBM kwa macho yangu, na taarifa zilitolewa, kwa nini mna ji understimate? vyovyote vile udom iwe na CIA haijalishi lakini ni sehemu tofauti sana, changamoto ndio shida, walimu wapo kutoka pande nyngi tu, tatizo wabongo wanapenda kukomoana sana, kusapishana ndio wasifu kitu..

NASA ni kitu cha kawa tu
 
Back
Top Bottom