Fyong'oxi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 266
- 72
Hongera zake! Ila sehemu ya fedha zilizotumika kukijenga, zimezalisha madeni makubwa kutoka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, kwasababu ya ubabe wa serikali kuingiza siasa na kulazimisha kuchotwa fedha ambazo sio zake , bali ni mali ya wafanyakazi.Na haijulikani zitarudishwarudishwaje.Naona walianza mchakato wa kubadilisha sheria za mafao ili kuziachia mzigo serikali zinazokuja na kukwepa lawama za wafanyakazi