ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,555
Habari za asubuhi wahangaikaji wa ajira na jf kwa ujumla
Wakuu baada ya kuzurula kwenye website ya tcu nimeona chuo kipya cha bagamoyo baada ya kuingia kwenye link yao nimeoona ajira ambazo mwisho wa maombi ni septemba 10 kwa hiyo ingia hapa kama inakufaa http://www.uob.ac.tz/documents/UoB Job Opportunity_Aug15_2011a.pdf