Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kampuni fulani inaitwa Global Education Link....wewe google utaiona. Inajihusisha na kutafutia wanafunzi vyuo mbalimbali nje ya nchi ikwemo India. Wameweka Costs katika website yao. Wewe fungua utaiona.
Lakini pia India ni kati ya nchi ambazo zina sifa ya kutoa Elimu bora hapa duniani.
Ila unapotafuta chuo hakikisha kinatambulika.
habari zenu members.naomaba kuliza kama kuna mtu yeyote anayejua kuhusu universities za india yaani ubora wao,cost nakadhalika..
Jesuit universities zina fair fees. Iwapo una connection na wanafunzi wa Loyola waombe waku-connect na Fathers wao watakusaidia.