Universities za India kutoa Bachelor's & Master's degree UDSM

Kwa wale wanaosoma IT nadhani watafaidi, kwani Wahindi wako fit sana kwenye mambo ya IT
 
Ila mjiandae na mateso ya kuishi huko kwa wahindi maana lol watanzania wanateseka sana
 
Kwakweli inabidi kujiandaa vizuri maana india sio kama uk au usa hamna kazi za kusema baada ya masomo ntafanya temp job kupata walau. india uende na upo full
 
Hapana Fidel, classroom itakuwapo UDSM ila lecture zitakuwa zinatoka India tena ni LIVE LECTURES, unamuona lecturer muda huo huo anapokuwa anafundisha, naye anakuona. Ukitaka kuuliza swali unanyoosha kidole na anakuchagua uulize. Ni kupitia big screen kwa mfumo wa Videoconference. Nilipoliona hili tangazo ilibidi niende mwenyewe kuona itakavyokuwa inafanya kazi, na bahati nzuri muda huo kulikuwa kuna lecture inaendelea from India kwenda kwa wanafunzi wa Kigali. Nimesema LIVE LECTURES ili uone kuwa hii ni tofauti na online degrees ambazo watu huwa wanafanyiana paper wakati mwingine, lakini kwa hii usipoingia class umeumia.
 
Kwakweli inabidi kujiandaa vizuri maana india sio kama uk au usa hamna kazi za kusema baada ya masomo ntafanya temp job kupata walau. india uende na upo full
Nadhani niliweka bandikio hapo juu kumjibu Fidel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom