Universal Mobile Telecommunications System (UMTS)

Mtu Mzima

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
394
124
Kwa mtu yeyote mwenye uzoefu au ujuzi au pengine ni Telecom engineer/Technician wa Airtel.

Naomba kujua kama ninaweza kutumia Modem ya UMTS (Universal Mobile Telecommunications System) kupata Internet kwenye network ya airtel.
 
UMTS ni moja ya teknoojia inaytumika kwenye GSM tenakwa nchi za nje nyigine imeshapitwa na wakati . Sasa hivi GSM za kisasa zinatmia HSPDA. So Navyoelewa Hizi ni teknologa ambazo zinakuwa upande wa provider.

Modem uliyonayo wewe kama ni ya GSM na itapokea teknolojia yeyote inayotolewa na provider iwe n ni 3g ya HSPDA au 3g ya UMTS au ni 3g ya GPRS . Zipo nyngine zinaitwa EDGE but ni mule mule ni GSM technoloy za 3G na nyingine zimebatizwa 3.5g .
 
Asante. Nilikuwa na wasiwasi ni kweli hii kitu ni modem/3G router, nataka kutumia kwa ajili ya Tablet inayotumia Androd, modem ina-support HSPDA/EDGE/GPRS.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom