United in Islam but economically asunder......................

HTML:
Kwani JK amejibu thread yako!, anakujaje hapa?!

Vibaraka wake wanamsaidia kuzijibu...........................
 
PHP:
Naona tatizo kubwa la nchi yetu ni umasikini uliokithiri ambao chimbuko lake ni utawala mbovu. Ni pale tu jamii ya wasomi itakapoacha ajenda za siri zichaguliwapo kuingia madarakani ndipo maendeleo ya kweli yatapatikana. Cha kustaajabisha hapa JF almost kila mada inayotolewa watu wanachangia wakiwa na ajenda ya UDINI.

Mwaka 2005 tulipomchagua JK kwa kura mingi hata maaskofu uchwara wakamwita ni chaguo la Mwenyezi Mungu.........................Jk hakuimba udini lakini baada ya Dr. Slaa kumtoa kamasi amekuwa mwasisi mkuu wa udini lakini swali linakuja tukubali udini autumie kutugawa kwa minajili ya kufanikisha masilahi yake na familia yake.....................akiisha ishia je tutakuwa wageni wa nani?
 
Udini ni hoja ya JK tusahau tofauti zetu za kiuchumi na kugangamala na udini ambao wanaonufaika nao ni wachache sana................

Naheshimu sana mawazo yako kiongozi,lakini nasikitika kufahamu hata hilo limekuuma sana....Am very sorry!
 
Hapa hakuna udini, kwenda kutoa pole kwa kiongozi wa dini ni udini. Kwani mikusanyiko mingapi ya kikristo anaenda....This thread is a crap.
Moderator...take it off please. Ukisema mbona JK hajavua viatu wakati wengine wamevua hapo tunaweza kujadili lakini si suala la dini.
 
Back
Top Bottom