United in Islam but economically asunder......................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
<table width="100%" align="left" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr bgcolor="#ffffff"><td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">
02_11_18c9b4.jpg
</td> </tr> <tr bgcolor="#ffffff"> <td class="kaziBody" bgcolor="#ffffff">PRESIDENT Jakaya Kikwete consoles mourners and relatives of veteran Muslim leader, the late Sheikh Kassim Mtopea, when he visited the deceased’s home in Temeke, Dar es Salaam, on Sunday. (Photo by Freddy Maro)</td> </tr> <tr> <td valign="top" align="center" bgcolor="#ffffff"><table width="100%" border="0"> <tbody><tr> <td><table width="100%" border="0" cellpadding="1" cellspacing="1"> <tbody><tr> <td bgcolor="#d1d1d1"><table width="100%" bgcolor="#ffffff" border="0"> <tbody><tr> <td valign="top" align="left" bgcolor="#d7f2f2"><table width="100%" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"> <tbody><tr> <td class="kurasahead" valign="top" align="left" bgcolor="#f4fdfd">Editorial</td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table></td></tr></tbody></table>
 
Udini ni hoja ya JK tusahau tofauti zetu za kiuchumi na kugangamala na udini ambao wanaonufaika nao ni wachache sana................
 
Mod where were you?hii sio inshu ya kujadili hapa we need challenge and not critics.
 
masikini shkh mtopea kumbe kafariki? RIP kiongozi.

inaonekana alikuwa muadilifu san, yaani licha ya umaarufu wake wote hayo ndio yalikuwa makzi yake? the government need to act for the interest of te people.

but mbona naona kama JK hajavua viatu? au siyo ishu hapo
 
Hapa Udini wa JK uko Wapi?
Tuwe na Ustaharabu wakati mwingine, waliokaa hapo mnataka kuniambia hakuna wakristo?

Kama JK ana UDini basi sio kwa hili, hapo kaenda msibani jamani
 
PHP:
ningekuwa mod nakupiga ban ya maisha

Ndiyo maana huwezi kuwa.................Inabidi ujenge hoja halafu ndiyo ufikie tamati hiyo ambayo lengo lake ni kuwaziba wenzio mdomo..................I truly pity you..........it is not only politically correct views which should be shared but even those which are politically unpopular.....................
 
PHP:
Hapa Udini wa JK uko Wapi?
Tuwe na Ustaharabu wakati mwingine, waliokaa hapo mnataka kuniambia hakuna wakristo?
 
Kama JK ana UDini basi sio kwa hili, hapo kaenda msibani jamani

Issue siyo msiba........................JK anapokosolewa hukimbilia kuwa anachukiwa kutokana na imani yake ya kidini....................lakini wakosoaji wake wanakerwa na matabaka ya kimapato ambayo hata hao waislamu ni waathirika wakubwa...............................kwa hiyo misibani kwenda ni changa tu.........lakini halifichi ukweli kuwa viongozi ndiyo wanajaribu kuyakuza matabaka ya kiimani ili tusahau au kuogopa kuhoji sera mbovu zilizokithiri ubinafsi..........................asiyeweza kutafakari ataona huo ni msiba lakini .......................it is mopre than msiba..............................it is deceit and cunning leader ready to pounce on our wealth fir personal gain and exploiting religious differences as his shield..............................
 
Suala hapa uwe makini kuangalia tofauti ya kimapato kati ya JK na waumini wenzie wa kiislamu...............na ya kuwa shida ya nchi hii siyo udini kama baadhi yenu mlivyokimbilia kujikitisha ila ni tofauti kubwa ya kimapato ambayo ufisadi ndiyo chanzo chake...............................JK kwenye picha hii anaonekana amenawili na mtanashati lakini angalia waumini wenzie tena wa dhehebu moja walivyo wachofu kwa shida ya umasikini sasa suala la udini linatoka wapi au labda "United in Islam but economically asunder" ni kimombo ambacho baadhi yenu kimewapita kando?.................observe and think deeply before you rush to awkward conclusions.................................Angalia ni JK tu ndiye aliyevaa viatu na wengine viatu wamevua au huwenda hata hawana walikuja kwa makandambili ambayo wameyaacha nje.............Tazama gharama za mavazi na mpasuko wa kimapato ambao picha hii umetufikishia...............Angalia nyumba ilivyochoka ya wafiwa au jamaa zao there so much to dissect here...

02_11_18c9b4.jpg
 
PHP:
Hapa Udini wa JK uko Wapi?
Tuwe na Ustaharabu wakati mwingine, waliokaa hapo mnataka kuniambia hakuna wakristo?
 
Kama JK ana UDini basi sio kwa hili, hapo kaenda msibani jamani

Ni nani kaongelea udini?

Suala hapa ni mpasuko wa kimapato hata kwa waislamu wenyewe na JK anatumia udini ili kuufunika huo ukweli sasa udini unapotumika kufunika matabaka ya kimapato na nyie mnashangilia .......na kumtetea JK......leaves me shell shocked..............................
 
Na hawa wajukuu wa Mzee vipi, maana mazoezi ya shuleni wanayarudia ukutani kwa babu, tena in red and pencil. Hesabu yenyewe mimi siimudu
 
PHP:
Mod where were you?hii sio inshu ya kujadili hapa we need challenge and not critics.

If economical decimation is not an issue to be discussed in JF then how do we develop and nurture independent thinkers and actors within JF community?
 
PHP:
Hapa Udini wa JK uko Wapi?
Tuwe na Ustaharabu wakati mwingine, waliokaa hapo mnataka kuniambia hakuna wakristo?
 
Kama JK ana UDini basi sio kwa hili, hapo kaenda msibani jamani

Ni nani kaongelea udini?

Suala hapa ni mpasuko wa kimapato hata kwa waislamu wenyewe na JK anatumia udini ili kuufunika huo ukweli sasa udini unapotumika kufunika matabaka ya kimapato na nyie mnashangilia .......na kumtetea JK......leaves me shell shocked..............................

Kwani JK amejibu thread yako!, anakujaje hapa?!
 
Islam? What has the President attending a funeral got to do with Islam..????????????

Na hapa je? Amebadili dini? 8E9U9662.JPG
 
Ukiacha Kikwete mimi hapa namtambua Shehe Alhadi Mussa na Mwanafunzi wake (nyuma yake), ingawa wamevua viatu lakini si wachovu.

Naona tatizo kubwa la nchi yetu ni umasikini uliokithiri ambao chimbuko lake ni utawala mbovu. Ni pale tu jamii ya wasomi itakapoacha ajenda za siri zichaguliwapo kuingia madarakani ndipo maendeleo ya kweli yatapatikana. Cha kustaajabisha hapa JF almost kila mada inayotolewa watu wanachangia wakiwa na ajenda ya UDINI.

Comrades, let's exhaust the possibilities to take this country forward and not been limited by UDINI.
 
Nimeangalia sana lakini sijamuona sheikh yahaya yule mlinzi wa waislamu na kikwete.................ndio kilio changu
 
Naona wengine mnashindwa kusoma picha nzima...kuna kitu kimoja mie nimeona hapo ambacho kimenivutia sana...ndugu zetu wa Ki-Islam hawatumii hizi occasion za misiba ku-accentuate tofauti zao za kiuchumi, tizama...wote wanavaa kanzu, kofia, wanavua viatu (JK kajisahau, labda! lakini pia - hapo si msikitini!!), wanakaa chini; hii ina-highlight the humanity that is common to all of us, accentuated by the event in question - which is death - that will befall all of us eventually. Labda udini upo, japokuwa sioni utamfaidisha JK namna gani!! Pengine tunachotakiwa kutilia mkazo ni kuzuia kumea na kukua kwa "fundamentalism" ambacho kwangu mimi ndio tishio kwa maendeleo na amani ya nchi. Hii tofauti ya kiuchumi ipo kwa kila dini, na hao mafisadi wako wa kila dini, kabila n.k. Kwa mfano, kwetu Bukoba nadhani majority ni Wa-Kristo, lakini kwa mtizamo wa haraka-haraka, umasikini ni mkubwa pia, tena wa kutisha.
Tutilie mkazo elimu, kujituma, ubunifu, bidii, na mambo kama hayo...tutafika tu. Elimu, si tu kukaa darasani, la hasha, bali elimu ya kiwango cha juu; tuwe na desturi ya kusoma vitabu na majarida - siyo siri - Wa-Tz wengi hatupendi kusoma, baada ya shule tunatafuta kazi, tukipata basi mwisho wa mchezo!! Haifai kuacha ku-elimika, graduation isiwe mwisho wa kujielimisha.
 
I am highly impressed by this input.......................................very thoughtful...........................
 
PHP:
Na hawa wajukuu wa Mzee vipi, maana mazoezi ya shuleni wanayarudia ukutani kwa babu, tena in red and pencil. Hesabu yenyewe mimi siimudu

Point taken...................
 
PHP:
[B] [/B]

    Nimeangalia sana lakini sijamuona sheikh yahaya yule mlinzi wa waislamu na kikwete.................ndio kilio changu

Nimesikia anapekechwa na gonjwa lisilo na tiba.........................................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom