Unique

Mkuu Shy.........

Naona mambo yamekugeukia,ila still ninakupa nafasi ya kujitete.
kujitete unaweza hata KUSEMA SAMAHANI kwa wana baraza wenzako.
 
Au unataka nikuambie na tovuti zingine ninazotumia majinatofauti na haya na kuweka mashairi na mambo mengine ?
 
Mimi ndio niliyaweka hayo mashairi kule zanzibarwebsite kwahiyo msiwe na wasiwasi na hilo

Raha ya kuuliza swali,ujibiwe.
Nitakua nataka shari,inijie.
Nimeridhika na jibu hili,nielewe.
Kama nimekukikose radhi,niwie.
 
Kuuliza Si ujinga, musinifanye jahili
Nautafuta niuwanga, tuzinduwane akili
Ndipo shairi hatunga, kubaleghesha suali
 
Hapana they never

lakini kuna virus zinashambulia folders ambazo ziko katika removables kama flash na external hdd , so unzip bila kuangalia virus anaingia na inaweza kufutwa na antivirus ingawa inawezekana kurudisha baadaye
 
Hapana they never

lakini kuna virus zinashambulia folders ambazo ziko katika removables kama flash na external hdd , so unzip bila kuangalia virus anaingia na inaweza kufutwa na antivirus ingawa inawezekana kurudisha baadaye



Je hapa bado tupo pamoja au maada imebadilika?.
Maana naona Kichina tu............sielewi.
 
Kuuliza Si ujinga, musinifanye jahili
Nautafuta niuwanga, tuzinduwane akili
Ndipo shairi hatunga, kubaleghesha suali
 
Kuuliza Si ujinga, musinifanye jahili
Nautafuta niuwanga, tuzinduwane akili
Ndipo shairi hatunga, kubaleghesha suali

Hili ni jibu langu au unatakauliza na wewe,kama hivyo ndivyo karibu ukumbi ni wako
 
Ndio niliandika jibu hilo au unapenda lingine - nijulishe kabla sijaenda kulala


Ukinijibu kwa shairi,ni-tafurahia moyoni.
kwa vina na mizani,lugha ihi ya peponi.
Taurati na Zaburi,lugha hii ya Mbinguni.
Utaikuta kwenye Injiri,hata kwenye Qurani.
 
Naliiweka yangu beti,kusema yangu ya dhati.
Kumwuomba Ya-Maliki,aujaze moyo ithibati.
Kwa salaam kudiriki,Nikaanza bila ya mikiki.
Kwa mpenzi wadhati,kwa jina Unique.


La-aziz wa ubani,nyonda mkalia ini.
Kuna jambo natamani,mpenzi uli-baini.
Sitaki weka moyoni,kwani huko kizani.
Moyo ni kichakani,hujui lililo ndani.

Kukuudhi si-tamani,nataka uijue kweli.
Mapenzi yalo mazuri,sio yale ya moyoni.
Huko hakuna kweli,ndio maana hakuonekani.
Kizani kama kaburi,mfu aijua siri.
 
Back
Top Bottom