Unique

Sanda Matuta

JF-Expert Member
May 9, 2007
949
134
Salaam nakutolea sababu,u-moyoni mwangu.
U-Mbali na upeo wangu,ndani ya moyo wangu.
Haupo machoni mwangu,unaishi moyoni mwangu.
Salaam ewe wangu,mbali,karibu na moyo wangu.
 
Salamu ni nuru humuangaza ajowae,salamu ni ngazi humpandisha darja atamkae,salamu ni zawadi hufurahi apewae,salamu ni mawardi hunukia imfikae
 
Salamu ni nuru humuangaza ajuwae,
salamu ni ngazi humpandisha daraja atamkae,
salamu ni zawadi hufurahi apewae,
salamu ni mawardi hunukia imfikae

Salaam ni lulu,aijua apewae.
Salaam ni mkufu,shingoni uivae.
Salaam yangu nakupa.
Iwe uijuae maanae.
 
Mungu akupe furaha maisha yako,akupe taa katka amali zako.atie barka katika rizki zako azidishe upendo ndani ya moyo wako akuzidishie subra maishanimwako!
 
Mungu akupe furaha maisha yako,akupe taa katka amali zako.atie barka katika rizki zako azidishe upendo ndani ya moyo wako akuzidishie subra maishanimwako!
...Shyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy....Ni last born kwenu nini??? Mtundu sana
 
Kwa idhini yako Mkuu SHY naomba niliweke sawa katika mpangilio hili beti lako...

Mungu akupe furaha maisha yako,
Akupe taa katka amali zako.
Atie barka katika rizki zako
Azidishe upendo ndani ya moyo wako
Akuzidishie subra maishanimwako
!
 
Mapishi Kati ya mapishi yote, yale nime wahi onja, Ni siagi kwa mkate, au nyama ya karanga, Kwelini vyakula vyote, vina enda kwa mchanga, Shairi ndo' mapishi, bora tu kuliko yote. Ni bora kuliko yote, hekima yakupatia, Ku kujuza mambo yote, yale yata kufikia, Kuishi na watu wote, wasiweze kuchukia, Hekima kitu bora, mapishi ya kishairi
 
Shy, what you're doing is known as "content scraping"
Nimeona watu wakikushauri lakini mwenzetu bado umeing'ang'ania tabia hii.

Mtu anapo-copy article ya mwingine bila kuonyesha reference ya original source, that is one thing. Inapotokea ume-copy n' paste maneno au idea ya mwingine ionekane ni ya kwako - that is so unethical.
What I am trying to say here is that, this is not tolerable. Na kama kuna mwingine anafanya haya hajashtukiwa, well - habari ndiyo hiyo!

''The desire to fabricate content to attract people's attention is a possible result," Zimmer said, ''like a 6-year-old who exaggerates about something on the playground to impress and gain friends."
Kwenye hili bandiko nimeonyesha content ipi nimeinakili mahali.

zanzibarwebsite

.
 
Shy, what you're doing is known as "content scraping"
Nimeona watu wakikushauri lakini mwenzetu bado umeing'ang'ania tabia hii.

Mtu anapo-copy article ya mwingine bila kuonyesha reference ya original source, that is one thing. Inapotokea ume-copy n' paste maneno au idea ya mwingine ionekane ni ya kwako - that is so unethical.
What I am trying to say here is that, this is not tolerable. Na kama kuna mwingine anafanya haya hajashtukiwa, well - habari ndiyo hiyo!

Kwenye hili bandiko nimeonyesha content ipi nimeinakili mahali.

zanzibarwebsite

.

Ok. !

I see.....

Mkuu LD,
Je unahushahidi wa hizi accusations?,na kama ndivyo ninaomba nijue anatoa wapi hizo beti.

Na kwa Mkuu wangu SHY jitetee............!
 
Naliiweka yangu beti,kusema yangu ya dhati.
Kumwuomba Ya-Maliki,aujaze moyo ihisbati.
Kwa salaam kudiriki,Nikaanza bila ya mikiki.
Kwa mpenzi wadhati,kwa jina Unique.

La-aziz wa ubani,nyonda mkalia ini.
Kuna jambo natamani,mpenzi uli-baini.
Sitaki weka moyoni,kwani huko kizani.
Moyo ni kichakani,hujui lililo ndani.
 
Ku copy na kupaste humu...baada ya kutoa sehemu nyingine,kwanza ni ujanja...unawawafanya watu watafute...uliko toa....kwa akili yao.

Pili pengine uko mwenzetu uliko toa na kusema ndiko aliko copy inaweza ni yeye kachangia uko kwa jina jingine...sik kila mtu ana uhuru wa kutembelea web nyingine...

I Am Just thinking different from others.
 
Kwahiyo unaunga mkono KUTUMIA KAZI YA MTU,BILA YA IDHINI YAKE? au wewe kusema kwamba UMEICHUKUA MAHARA kwa kuweka FUNGA NA FUNGUA SEMI?

unajua silazima useme umeitoa kwa nani ila kwa kuweka funga na fungua semi nikuonyesha kwamba hiyo au hayo maneno ni kazi ya mtu.
Na hiyo ndio tofauti ya professionals na non-professionals (ili ni kama kazi ya sanaa,kwani aliye sema au kufanya kazi hiyo ametumia muda na mengineyo kufanya jambo hilo mpaka ukataka kulitumia) nadhani unanielewa ndugu BUSWELU
 
Sanda matuta umebarikiwa ndungu, nampa pongezi huyo aliyebahatika kuandikiwa hizo beti, nadhani kama atakuwa anasoma saa hizi moyo wake utakuwa mweuuuuupe.

Hongera UNIQUE.
 
Mapishi Kati ya mapishi yote, yale nime wahi onja, Ni siagi kwa mkate, au nyama ya karanga, Kwelini vyakula vyote, vina enda kwa mchanga, Shairi ndo' mapishi, bora tu kuliko yote. Ni bora kuliko yote, hekima yakupatia, Ku kujuza mambo yote, yale yata kufikia, Kuishi na watu wote, wasiweze kuchukia, Hekima kitu bora, mapishi ya kishairi

SHY!!!!!!!!!

dont shy away, huu ni wizi wa credit, na wizi kama wizi mwingine, kwa hiyo wewe ni mwizi kama wezi wengine, FISADI wa sanaa ya ushairi.
Mwandishi wa shairi hili ni Stephen Dik, Mpenda Ushairi, Kenya.

Unakumbuka kuwa kuna siku uliingia mkenge na kutoa number yako ya cell na Jina lako pia...unakumbuka hii
[B said:
shy;269233]Hi Kalalangambo Pls Call 0713421045 Ask For Shazi He Can Help You Just Explain[/B]

Acha hizo bwana Shazi.
 
Back
Top Bottom