Ungwana gani huu?

Brightman Jr

JF-Expert Member
Mar 22, 2009
1,225
232
Jamani niko safarini kutoka Shy kwenda Mby kupitia Nzega,Tbr, nk. Hii bac nnayo safiri nayo imejaza abiria hadi wengine wamesimama. Sasa shida iko hapa.., kuna jamaa kasimama karibu nami hapa, yaani makalio anayalengesha karibu na pua yangu yaani kuna harufu kali inatoka, si ile ya kupuliza la hasha.! Nikimwambia sogea huko kidogo jamaa haelewi, halafu bonge la baunsa. Jaman huu ni ungwana kweli? Harufu hii mpk Mby nitapona?
 
Si utani kuna jamaa humu wamezichapa wakigombea seat moja ya J1. Mambo ya mabasi na maajent kugonganisha namba za seat..!
 
Mpige kidole atasogea pembeni kama hastuki mchome sindano kwenye tundu lake linalotoa uchafu
 
...we unaogopa harufu....
Badala ya kuogopa ajali.... enwayz atakua kafunga irizi ya mzoga huyo.....
 
...we unaogopa harufu....
Badala ya kuogopa ajali.... enwayz atakua kafunga irizi ya mzoga huyo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom