Ungo utumike kama chombo cha usafiri kama ilivyo vyombo vingine vya usafiri.

Jan 7, 2012
61
7
Ungo unaotumiwa na wachawi kama chombo cha kusafiria katika shughul zao za kiuchawi, mimi nimekuwa nikifikiria sana kuhusu suala la ung'o hii kwangu ni kama teknolojia kubwa sana ya waafrica kama tungeweza kuimaintain nasi tungetisha kwel, kuna kipindi ungo uliwahi kujadiliwa kwenye bunge lkn hili
Halkufika muafaka, usafiri huu kwa taarifa zilizopo ni kwamba ungo ni usafiri wa haraka sana mfano kutoka tz hadi london inachukua dakika 45 tuu
 
Hapo kwenye red umenitisha,kama ni kweli inabidi huu usafiri uboreshwe usitumike kama uchawi
 
Tungeweza kuondoa huo uchaw unaotumika tugundue hiyo teknolojia wanayoitumia ingekuwa ni teknolojia kal sana na tungewashinda hawa maexploiter wa kizungu mie nawalaumu sana.
 
Hapo kwenye red umenitisha,kama ni kweli inabidi huu usafiri uboreshwe usitumike kama uchawi

UNGO wa jikoni au UNGO wa ANTENA .TV ??? maana tuanze kutegasha UMEME kabisa kwani itakua deal hiyo bongo....mala Tv haionyeshi mtu kajaa ndani yaungo ....mmmm...daladala si ajila itakua hamna tena??
 
Mafuta yake ni damu ya mtu, baada ya muda watu watapungua!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom