Ungependa nani awe rais wako kati ya hawa?

Dr.slaa rais, mbowe wazr mkuu,mnyika madin,zitto wazr wa utalii na maliasil,lisu mwanasheria mkuu wa ser,maguful hapa hapo yan ilo ni bonge la formation coz ful maendeleo bt lusinde gerezan uyo miaka mia 800
 
Kikubwa n kubadlisha upepo!!coz hawa wamesha izoea nch so wanafanya watakavyotaka kamavile wanajua ilipotoka!!piga chin!!
 
Tango amemalza ubishi coz kila2nacho2mia chenyemaendeleo kimeanzishwa na mkolon so bora mkolon coz wameshndwa ku2ongoza na kujal maslai yao zaid..,..wote piga chin!!kama sivyo 2badilishe upepo 2onewata2saidiaje!
 
Eti wengine wanasema anaanza kuzeeka eti hafai! Nani kasema ? Dr Slaa ni jembe! Tumpe walau msimu mmoja atatuonyesha njia
 
Edward Lowasa - Rais
Andrew Chenge --Waziri mkuu
Rostam Azizi - Waziri wa fedha
Edward Hosea- Waziri wa Sheria Na katiba
Stephen Wasira --Spika wa bunge
 
Edward Ngoyai Lowassa, Makamu wake Magufuli na Waziri mkuu ni Mwakyembe japo hawaivi chungu kimoja na Lowassa japo wote ni wachapa kazi hasa.
 
Back
Top Bottom