Ungependa nani awe rais wako kati ya hawa?

Bwana mbona unatuandikia foleni kubwaa wakati Rais wetu tushamjua - Hata ukienda shule ya msingi uite watoto 10, nane kati ya hao watakutajia huyo huyo - huku sasa kusumbuana kusoma tu.
<br />
<br />
Why dont u tell us?Who do u think?We need your opinion!
 
Ni mapema sana ndugu,kumbuka uzaniaye ndiye kumbe siye,wahenga hao waliyanena.
 
John Pombe Magufuli,Anna Tibaijuka,Zito Zubdri Kabwe,Andrew Chenge,Bernad Membe,Edward Ngoyai Lowasa,Mizengo Kayanza Peter Pinda,Dr Wilbrod Peter Slaa,Fredirick Sumae,Freeman Aikaeli Mbowe,Anna Makinda,Asha Rose Mingiro,Getrude Mongella,Rostam Aziz,Agustine Mrema,Dk Ali Mohamed Shein,Seif Sharif Hamad,Prop Ibrahim Lipumba,Husein Mwinyi,Salim Ahmed Salim,Maik Mwandosya na Harison Mwakyembe?Je unapenda awe nani?
<br />
<br />
Livingston Lusinde
 
Job Ndugai naye anafaa sana, panga analopiga kule bungeni lazima ccm watampa fadhila
 
Unahangaika na majina ya nini saa hizi?

Sifa moja wapo ya Rais ninayemtaka: Asiwe amewahi kutuhumiwa kwa namna yoyote kushiriki katika kashfa yoyote, wala kutuhumiwa kusababisha maafa katika taasisi ama Wizara anaoyoingoza wala kutumika kuizima wala kuficha taarifa zozote ambazo zingeweza kusaidia kuliokoa taifa katika mikono ya mafisadi. Sifa nyingine muhimu asiwe mwanachama wa Chama ambacho sera kubwa ni kufunga mafisadi.
 
Back
Top Bottom