Ungepata nafasi ya kumshauri Mh Lowassa, Ungemwambia nini!

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
756
738
Kufuatia kukatwa jina kuwania nafasi ya Uraisi, Iwapo ungepata nafasi ya kumshauri mheshimiwa katika kipindi hiki ungemwambiaje!
 
Akomae pamoja na wengine wote ambao majina yao hayakufika wenye Kamati Kuu. Katiba ya CCM inasema kwa uteuzi wa wagombea urais ndani ya CCM inasema: Majina yote ya wagombea yatafikishwa yote ndani ya Kamati Kuu baada ya majina kutoka kwenye Kikao cha maadili.CCM imevunja katiba yake na uonevu kwa wengine si Lowasa tu
 
namshauri kwa umri wake hasifate nyayo za zitto,abaki na heshima yake,
 
ningemshauri aachane na siasa aende kulea wajukuu, siasa anazipenda lakini zenyewe hazimtaki
 
ajue rais ni changu la mungu kupita wanadamu tangu 1995 mungu akumpanga kuwa rais so alizike na kile alichompangia mungu basi,
 
Km sasa hivi kaanza sikiliza watu pengine naweza msahuri.Miaka yote tukiwashauri alikuwa akipandisha mori wa wafuasi wake na waoa wanampandisha.Sasa hivi afanye kazi kuiondoa CCM angaalaua awe na heshima kwa watz.
 
Back
Top Bottom