Ungekuwa wewe ungefanyaje?

shansarie

JF-Expert Member
May 25, 2013
5,690
3,357
Fikiria wewe ni msichana au mvulana una mchumba wako wa muda mrefu sana na ameshika dini ile mbaya
kiasi kwamba hamjawahi kuzungumza habari za ngono wala kushiriki mkisubiri hadi mfunge ndoa.kwa maana hiyo hakuna anaye mjua mwenzake kimwili zaidi ya kufahamiana kwa mandhari ya nje.
Haya siku ya siku imefika posa imepelekwa ndoa imefungwa ghafla usiku wa siku ya fungate unakuta mwemzio
ana GOVI na kama ni mwanamke kafyekwa{tohara] na hamjawahi kuzungumzia hilo utachukua hatua gani. mawazo yenu ni muhimu sana tafadhali.

copy kwa Lady doctor
 
govi anaweza kumshawishi likatolewa
ishu ni kile kihamasishi cha mtt wa kike hakirudishiki
mwanaume akubali matokeo tu no way out!!
 
My dia kwa zama za sasa ukiona mtu anajidai ashirikiani kimapenzi mpaka ndoa ujue kuna kasoro kama hizo.... Wanajua akikigawa before ndoa atakimbiwa...

Bytheway... Ukishakutana na mtu mwenye hiyo hali kama ni mwanamme utaweza kumshawishi akajivue gamba kama ni mke hapo mmmh...!! Itabidi kidume atumie maujuzi mengine ili aweze kumpa raha bidada.... Ila hala... Hala... Asije akaingia jicho la3
 
very true, ila kuvua gamba utu uzima noma antena ikisimama tu nyaya zote zinakatika na kwa bidada dume inabidi aijue Gspot bila kupenda kama njia mbadala
 
Najua kufanya ngono ni dhambi. Ila kuchunguliana kwa ni dhambi?

Naomba mwongozo tafadhali.
 
ungeweka hili swali jukwaa jingine kama MMU, ningekujibu kwa ufasaha na wala usingejiuliza tena hili swali...lakini kwa kuwa lipo huku CC ngoja nijipitie zangu.
 
duh hii nayo kali mkono wa sweta wakati wengine wana mikono ya vikaushi loh tutalala mzungu wa nane hadi atakapolikata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom