Ungekuwa wewe ungefanyaje? Dawa za mgeuza mwanaume kuwa mwanamke

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]

319308-208224545973282-253640337-n-jpg_190818.jpg

William McKee (38) alijikuta kwenye wakati mgumu kutokana na uamuzi wake wa kutumia dawa ya kupambana na upara. Dawa hiyo aina ya Propecia imemgeuza McKee kuwa mwanamke jambo ambalo limemfanya aachane na mkewe waliyeishi kwa miaka 10. Ghafla alijistukia akiota matiti huku mapaja yake yakitanuka na kuwa na alama zote za mwanamke. Kwa sasa McKee amefadhaika na maisha yake yameanza kupoteza maana. Kwa habari zaidiBONYEZA hapa.
 
ngoja kwanza twende taratibu zakhari yake bado inafanya kazi au nayo imebadilika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom