Ungekuwa wewe ungefanya nini?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wana jamvi

Naomba thread hii itumike kwa kila great thinker achague cheo,taasisi au wizara yeyote anayoona anaweza kufit ambayo kama angekuwa kiongozi aseme na andike mammbo gani na decision angefanya tofauti na yanofanyika sasa.

So tujadili kama wewe ungekuwa ndo JK, au waziriau katbu mkuu fulani au ungekuwa CEO wa NHC au PPF, TTCL etc.Au ungekuwa Mkuu wa chuo UDSM au ungekuwa Meya wa jiji au ungekuwa mbunge wa jimbo xxx. Na vyeo vingine vya kimaamuzi unavyojua


Simple chagua cheo na taasisi na sema ungefanya decision gani.?

Itapendeza hii thread akiingia na kuisoma original

  • CEO wa TTCL, NSSF,TANESCO aone "virtual" CEO wana solution gani
  • mbunge wa jimbo xxy asome "virtual" mbunge ana mtazamo gani
  • JK aone ni maamuzi gani virtual JK's tunayafanya
  • Meya....
  • Waziri......

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom