ungekuwa wewe umwamini mtu huyu?

Aluta

Member
Aug 16, 2008
69
3
Weekend iliyopita nilikuwa restaurant na wife..muda kidogo mwafrika mmoja alipita pembeni yetu kisha he showed me a gesture sign; saying hi as all we are blacks. Suddenly he was besides my table..na swali la kwanza lilikuwa ´´Where are you from?´´ nikamwambia Tanzania...kisha akaniambia anatoka Canada..akaniambia unaonaje kama tukionana kwa kahawa na kuongea kuhusu family matters...sababu yeye kaoa mara tatu na ana divorces tatu na anadhani kuwa ndoa nyingi from different cultures huwa zinavunjika kwa sababu ya misunderstandings kwa wanandoa...anadai kuwa sasa kaoa tena na ana mtoto mmoja...Akaniomba namba ya simu nikampa akadai kuwa nimpigie au atanipigia..Ila kwa kumcheki na jina lake machale yakanicheza kuwa si Canadian. Je,kama ni wewe ungemwamini huyu mtu na kuongea naye issue za familia yako? From outside he looks like somebody with good intentions...from inside that's unknown. Would u take that risk?
 
I wouldn't take that risk for sure, kuwa africans haimaanishi ndo mmezoeana hivyo na anapenda mkutane tena halafu cheki akikupigia atasemaje,usimpigie!. In short kuwa mwangalifu maana binadamu hawatabiriki.
Kama umehisi ana intension nzuri then the ball is in your hands, just be careful kutoa informations zako binafsi,kazi na unapokaa nk.
 
huyu jamaa ni failure in love side just like me, atakuwa alikuonea wivu alivyokuona na familia sio wivu mbaya (ENVY) HATA MIMI HUWA HIVYO NIKIONA WATU WANAKAA VYEMA AU WAMETOKA NA FAMILIA YAKE MKE NA MUME NASHANGAA SANA NATAMANI KUJUA KAMA WANIISHI VIPI AU ARE THEY HAPPY, NATAMANI KUJUA WHERE DIDI I FAIL.

JAMAA HUYU ANATAKA KUJIWEKA VIZURI LAKINI HAJUI LA KUFANYA MSHAURI AMUONE MTAALAM WA SHIDA HIZO, ILA WEWE USITOE SIRI ZAKO KWAKE NA WALA USIMUAMINI HUKO KWENU MANIACS NI WENGI SANA HUENDA AKAMTAMANI MKEO AKIDHANI SHE IS THE RIGHT CHOICE FOR EVERYONE.
 
In this world never ever trust anyone eventhough your own mum. This is from intelligence point of view. Take note
 
Isn't this a bit too far? My kids should never ever trust me? Well, may be!
 
Weekend iliyopita nilikuwa restaurant na wife..muda kidogo mwafrika mmoja alipita pembeni yetu kisha he showed me a gesture sign; saying hi as all we are blacks. Suddenly he was besides my table..na swali la kwanza lilikuwa ´´Where are you from?´´ nikamwambia Tanzania...kisha akaniambia anatoka Canada..akaniambia unaonaje kama tukionana kwa kahawa na kuongea kuhusu family matters...sababu yeye kaoa mara tatu na ana divorces tatu na anadhani kuwa ndoa nyingi from different cultures huwa zinavunjika kwa sababu ya misunderstandings kwa wanandoa...anadai kuwa sasa kaoa tena na ana mtoto mmoja...Akaniomba namba ya simu nikampa akadai kuwa nimpigie au atanipigia..Ila kwa kumcheki na jina lake machale yakanicheza kuwa si Canadian. Je,kama ni wewe ungemwamini huyu mtu na kuongea naye issue za familia yako? From outside he looks like somebody with good intentions...from inside that's unknown. Would u take that risk?

...Kwani huyo mkeo ni mzungu? maana umegusia anataka kuzungumzia matatizo ya ndoa from different cultures (background.)

...Unasema ni mwafrika, yeye anasema ni Canadian japo jina unaonamashaka nalo. Doubts zako za nini sasa? Mbona mimi ni binadamu lakini naitwa Mbu? :)

...I would take risk (atleast kwenye kikao cha kahawa) to 'learn' and know the unknown!
 
Weekend iliyopita nilikuwa restaurant na wife..muda kidogo mwafrika mmoja alipita pembeni yetu kisha he showed me a gesture sign; saying hi as all we are blacks. Suddenly he was besides my table..na swali la kwanza lilikuwa ´´Where are you from?´´ nikamwambia Tanzania...kisha akaniambia anatoka Canada..akaniambia unaonaje kama tukionana kwa kahawa na kuongea kuhusu family matters...sababu yeye kaoa mara tatu na ana divorces tatu na anadhani kuwa ndoa nyingi from different cultures huwa zinavunjika kwa sababu ya misunderstandings kwa wanandoa...anadai kuwa sasa kaoa tena na ana mtoto mmoja...Akaniomba namba ya simu nikampa akadai kuwa nimpigie au atanipigia..Ila kwa kumcheki na jina lake machale yakanicheza kuwa si Canadian. Je,kama ni wewe ungemwamini huyu mtu na kuongea naye issue za familia yako? From outside he looks like somebody with good intentions...from inside that's unknown. Would u take that risk?

Mmmh! mkuu huyo alitaka achukue mke wako, kaa chonjo
 
...Kwani huyo mkeo ni mzungu? maana umegusia anataka kuzungumzia matatizo ya ndoa from different cultures (background.)

...Unasema ni mwafrika, yeye anasema ni Canadian japo jina unaonamashaka nalo. Doubts zako za nini sasa? Mbona mimi ni binadamu lakini naitwa Mbu?

...I would take risk (atleast kwenye kikao cha kahawa) to 'learn' and know the unknown!

Ndio; mke wangu ni mzungu na nilikuwa na mashaka na jina sababu wangu wengi huwa wanadanganya wanakotoka sijui sababu ni nini lakini labda wanaka ku-win trust easily or otherwise. Not sure for a reason.
 
mkuu chamtumavi respect na avatar yako....is the best avatar ever seen katika forums tofauti tofauti....

@Yo Yo!Honestly hata mimi kila nikikutana napo kwenye tread fulani naiangalia sana!..Huyo mdada hachoki lol...

@Mbu umenichekesha wewe..avatar matata eeh
 
Ndio; mke wangu ni mzungu na nilikuwa na mashaka na jina sababu wangu wengi huwa wanadanganya wanakotoka sijui sababu ni nini lakini labda wanaka ku-win trust easily or otherwise. Not sure for a reason.

Ndugu yangu umefanya makosa makubwa sana kwa kumuhukumu mtu kutokana na jina lake. Kwa nchi kama canada juwa kuwa ni "multicultural country" ina wahamizi wengi tu kutoka nchi mbali mbali. Sasa unataka kuniambia kuwa ukienda canada na kukutana na mtu anaitwa OSAMA utasema kuwa shirika la ndege limekudanganya badala ya kukupeleka Canada unakotaka kwenda na badala yake wamekupeleka Saudi Arabia? Tuwache kuwahukumu watu kutokana na majina rangi au sura zao kwani MWIZI HANA SURA!!!
 
I would take a risk kwani uko ningeenda kuongelea family matter zake and why ame divorce na kuangalia kama kuna sehemu ali fall....lakini ya kwangu itakuwa baada ya yeye kusema yake akitaka kujua ya kwangu...ataambulia story ya mtu mwingine kabisa......ila ningeenda kuonana nae tena kucheki kama yuko makini ningemwambia anipigie yeye.

Regards
Buswelu
 
Isn't this a bit too far? My kids should never ever trust me? Well, may be!

After taking care of them for 9 months in your tummy and there after until their adulthood, they should always trust you, you deserve their trust.
 
Ndugu yangu umefanya makosa makubwa sana kwa kumuhukumu mtu kutokana na jina lake. Kwa nchi kama canada juwa kuwa ni "multicultural country" ina wahamizi wengi tu kutoka nchi mbali mbali. Sasa unataka kuniambia kuwa ukienda canada na kukutana na mtu anaitwa OSAMA utasema kuwa shirika la ndege limekudanganya badala ya kukupeleka Canada unakotaka kwenda na badala yake wamekupeleka Saudi Arabia? Tuwache kuwahukumu watu kutokana na majina rangi au sura zao kwani MWIZI HANA SURA!!!
Reply With Quote

I agree with u...ni makosa ku-misdjudje watu...lakini however inabidi uelewe kuwa kuna watu wengi sana abroad hawataki kujitambulisha wanakotoka originally...which is shamefully...Ndio maana nikawa na mashaka and it doesn't necessarily have to be true or false.
 
No!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!never trust a stranger. Tena hata hiyo number ya simu uliyompa u shudnt have....
 
Back
Top Bottom