Ungekuwa wewe ndo msela ungefanyaje

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Walcott admits he was surprised at the reception the players received in the Far East, but is eager to experience it once more this summer.

“There was a young lady who we saw at every training session,” he said. “Her boyfriend spoke to me and said, 'She loves you more than she loves me'! She was everywhere, following the coach, everywhere. It was crazy!

SOURCE: Purple Reign Pre-order now || Arsenal.com
 
Nyie watoto wa serelaki na daipa mna shida kweli...............Haya maneno tuliyaongea sisi wa manzese,magomeni,tandika,keko,mabatini, Igoma nk. Msela nondo maana yake ni msela mkakis

hapo ndo umemuacha kabisa
 
Nyie watoto wa serelaki na daipa mna shida kweli...............Haya maneno tuliyaongea sisi wa manzese,magomeni,tandika,keko,mabatini, Igoma nk. Msela nondo maana yake ni msela mkakis

Nataka unitafsirie mada ili na mimi nitoe mchango wangu lol!
 
sweetlady Ni hivi mpinga ndinga huko U.K kwa name la Walcott kapigwa na mshangao na mapokezi waliyoyapata huko kwa kuku wa kienyeji mashariki ya mbali, lakini lililotokea majira ya joto balaa:

Demu aliyekuwa anaangalia ndinga kila wakati hapo kwenye kilinge cha mazoezi kamwambia (walcott) kuwa kibuzi chake huko skani kinasema kinanampenda Walcott kuliko anavyompenda yeye (yaani mshori) upo hapo!
 
Last edited by a moderator:
Umeonaeeh yaani mada yenyewe sijaielewa manake imeandikwa kwa lugha ya kitumwa afu yeye tena anazidi kunichanganya!

ka lugha ya kitumwa ume-log in vipi na umejuaje hapa ni pa kuandika neno la siri?
 
sweetlady Ni hivi mpinga ndinga huko U.K kwa name la Walcott kapigwa na mshangao na mapokezi waliyoyapata huko kwa kuku wa kienyeji mashariki ya mbali, lakini lililotokea majira ya joto balaa:

Demu aliyekuwa anaangalia ndinga kila wakati hapo kwenye kilinge cha mazoezi kamwambia (walcott) kuwa kibuzi chake huko skani kinasema kinanampenda Walcott kuliko anavyompenda yeye (yaani mshori) upo hapo!

Hapa sasa tuko pamoja! Ahasante platozoom!:flypig:
 
Last edited by a moderator:
1. Ahsante haitoshi....nipe busu kidogo
2. Sasa kama imekutokea wewe ungefanyaje......msela anamfagilia Mgosi au Samatta kuliko wewe!!

:busu:busu:busu......yametosha au niongeze mengine?

Kama ni mimi jamaa itabidi afafanue anamaanisha nini!
 
Jamaa amekuingiza chaka, ukweli ni kwamba boyfriend wa binti ndo kamwambia Walcott kuwa "Demu wake anampenda Walcott kuliko anavyompenda yeye (boyfriend wake))"

Sasa wewe ndo ungekuwa yule jamaa ambaye msichana wake kamwambia kuwa anampenda Walcott kuliko yeye ungefanyaje?
 
Hehehehehe hivi uko serious kihivyo eeh?......sijaingizwa chaka wala nini.....mie na platozoom ni mwalimu na mwanafunzi wake so wala usijali!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom