Ungekuwa wewe ivi ungefanyaje?

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Wewe ni mtoto wa pekee wa kike katika familia yenu. Una mdogo wako mvulana last born huyo, very funny! Yani kila siku mkiwa mnapata dinner basi kitawachekecha weee, na mmeshakizoea na kila siku mnakiuliza enhee leo unatupa kichekesho gani?

Sasa kumbe ako kadogo kako siku iyo kamekuvizia wakati umeenda bafuni kuoga kameingia uvungu wa kitanda chako ili kakustue. Mwenyewe bidada umetoka bafuni ukatupa taulo lako na kuanza kujishebedua kwenye kioo chako kikubwa bila kujua ki bwana mdogo kinakuchungulia na sa kimeshaona umevua nguo kinataka kuona zaidi! Mwenyewe umegeuka huku naa huku, umenyanyua mguu kujifuta, umefanya mbwembwe zooote mana unajua uko pekeyako humo room.

Muda wa dinner umewadia, familoa nima ipo mexani, makaka kama wanne ivi, baba na mama. Katoto kakaanza, ' jamani leo nina boonge la kichekesho!' Mkadakia, 'enhee ebu tupe ya leo' Kikaendelea,' leo nimeona kitu cha ajabu kule chumbani kwa dada. Kumbe dada ana vichwa viwili! Apa katikati ya miguu nimeona ana kichwa kina nywele nyingi tu'. UKiwa we ndo dada sasa apo, nini utafanya? Au we ndo kaka sasa utafanya nini?
 
Nothin else!
Atafanya nini ?
Na ndo keshaumbuka completely !
Na ndo biashara ya kumuuliza dogo "today latest" itahitimika on that day .
Otherwise kuna siku "mpya ya leo" atakisimulia "KITUMBUA" kilichomdropu duniani !
 
Hahaha, ndo keshakamilisha statement hivyo! AIsee mi namcharaza bakora za uso
 
Kabla hakajakamilisha kuongea! Nakalamba kofi. Hakaendelei tena!!

Ni hivi gfesto , hebu rudia kumsoma mletamada , anasema ka'dogo kameshamaliza statement !
Yaani mf. Wake ni kama wasemavyo "maji yakishamwagika hayazoleki"
Ndivyo neno likishatamkwa , utalirudishaje mdomoni ?
So far hata ukakazabua mbata still umbuko liko palepale .
 
Last edited by a moderator:
Afu na huyo dada nae analiachiaje v.u.zi likashamiri kaa'mchicha , hadi likaonekana kwa mbali ?
Asingeshamirisha huo mchicha ofcoz dogo angeona Kinana (uaraza) pasingetokea tatizo .
Watu wanafuga Ng'ombe , wengine wanafuga nywele!
 
Itabidi umwambie kitendo alichokifanya sio kizuri na asirudie tena kufanya hivyo.
Nalog off
 
Back
Top Bottom