Hii ni kanyanga jamaa yuko full dresses wapi na wapi? Au mchezo wa kuigiza?
Ray B,..Jamaa haulizi kama hii ni kweli au ya kubuni, anachotaka ni kupata maoni kama ungekuwa wewe umepatikana na masahibu ya hivi ungejiokoa vipi!...Hakika hapa ni kimbembe...labda kama unamzidi nguvu jamaa, ni kumvaa, vinginevyo uombe msamaha na kugaragara chini!
Oyaaa PJ ulipotelea wapi mzazi?
Ray B,..Jamaa haulizi kama hii ni kweli au ya kubuni, anachotaka ni kupata maoni kama ungekuwa wewe umepatikana na masahibu ya hivi ungejiokoa vipi!...Hakika hapa ni kimbembe...labda kama unamzidi nguvu jamaa, ni kumvaa, vinginevyo uombe msamaha na kugaragara chini!
...Hakuna haja ya kuomba msamaha. Ukishaona hali imekuwa hivyo iwe zangu au zake namalizana nae tu huyo jamaa nikilipata hilo panga namkwangua masikio then nachimba maana yeye akikushika hatakuacha hata kidogo!Ray B,..Jamaa haulizi kama hii ni kweli au ya kubuni, anachotaka ni kupata maoni kama ungekuwa wewe umepatikana na masahibu ya hivi ungejiokoa vipi!...Hakika hapa ni kimbembe...labda kama unamzidi nguvu jamaa, ni kumvaa, vinginevyo uombe msamaha na kugaragara chini!