Ungekuwa Ni Wewe Ungefanyaje?

Allien

JF-Expert Member
Jul 6, 2008
5,546
1,861
20120405114012.jpg
 
simple, ningejigeuza JANGIRI hapo sasa nani angemkimbiza mwenzake
 
Unajifananisha na Filbert Bayi kimawazo

Kama kuna mtu anadhani hajui kukimbia, basi ngoja apatwe na mkasa kama huo. Ukiangalia kiatu mguu wa kulia hata image yake haionekani vizuri ikimaanisha kuwa ile speed si ya kawaida. Sidhani hata kama Filbert Bayi angemshinda enzi zake.

Jamaa, meno, mshipa wa shingo vyote vimemtoka.

Ni balaa . . . .

Ni utatanishi . . .

Ni utata mtupu . . .

Eeeeeh mola msaidie mja wako . . . sijui ni nini kilichompata baada ya hapo.
 
Aaaa Allien simple kabisa ningegeuka na kumdandia mgongoni japokuwa wakati huo suruali yangu isha chafuka kwa nyuma.........
 
binafsi nikisema nitafanyaje hapa nitakuwa mwongo but on the scene solution ingepatikana tu.
 
Duh!! hapo ni kukimbia zigzag, utakapo pumzika angalia chini ya suruali utakuta mzigo umejaa na inzi wanakupigia mayoweeee!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom