Ungekuwa ndo mbunge wa CHADEMA ungefanyaje?

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Wana jf,supose ww ungekuwa ndo mbunge wa cdm umetendw haya ungfnyj?
0.kura zenu za uraisi zmchakachuliwa
1.umenyimwa haki ya kushiriki kumchagua meya arusha
2.umekamatwa ukitetea haki na kuswekwa lupango
3.umebaniwa nafas ya kutoa maoni bungen
4.mapendekezo yako ya katiba yamepuuzwa na rais.ni hatua gani ungechukua?
 
wana jf,supose ww ungekuwa ndo mbunge wa cdm umetendw haya ungfnyj?
0.kura zenu za uraisi zmchakachuliwa
1.umenyimwa haki ya kushiriki kumchagua meya arusha
2.umekamatwa ukitetea haki na kuswekwa lupango
3.umebaniwa nafas ya kutoa maoni bungen
4.mapendekezo yako ya katiba yamepuuzwa na rais.ni hatua gani ungechukua?

tuanze na wewe mkuu, ungefanya nini/ ungechukua hatua gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom