Ungekubali uolewe na yupi kati ya hawa. . . . ??

Kwakua mie ni mkali nadhani naweza kuolewa na na na na a a a a a!!!!! Nimekumbuka huyo wa (11) hebu EIYER piga hesabu ya faster faster yaaaani MKALI a.k.a. muonja kilaji + mkorofi,mlevi =..........................

Sitaki kutia neno hapo bana!
 
kumbe ndo maana sina mwanaume..watu wamejilimbikizia wenyewe..
kumbe ufisadi hadi kwenye mapenzi upo..
gap baina ya wenye nacho na wasio nacho kumbe ni kila mahali sikujua!...
wenzangu mnahesabu 11 mimi smile nipo 0...daaaah!

umenichekesha sana smile.lol!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom