ungekua wewe ungemfikiriaje girlfriend wako

Dahhhhhhhhhhhhhhh wivu mwingine umepitiliza, yaani anatumia jina lako???? Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Too much
 
Huwezi kumlinda mwanadamu mwenzio, kwanza jiamini halafu utaona kila kitu kinakuwa sawa, sioni sababu ya kuwa na wasiwasi na yeye kutumia jina lake, mpe uhuru.

Km humwamini mwenzio ni mbaya sana kumwonyesha ni bora ukawa unafanya ufuatilia bila yy kujua kwa sababu ukimwonyesha atakuwa anajihami na unaweza kuja kugundua wakati mambo yameshaharibika.
 
Watu tumeolewa na bado tunatumia majina yote ya wazazi wetu...yeye ana date tu anabadili jina???

Atakuwa amekutana na wajanja wakamshtua kuwa anachekesha...Lol.

Rafiki zangu walioolewa na kubadili majina leo hii wakiniomba ni wa add facebook napata wakati mgumu kuwa identify maana mtu alikuwa anaitwa say Asha Juma leo kaolewa anaitwa Asha Ramadhani; yaani ni mtu mwingine tofauti...sioni dili kabisa kwenye kubadili jina...jina ni personal identity...kuwa mwanamke haina maana na identity ipotee.
 
Miaka mitatu katumia jina lako haoni incentive yoyote, ndo kwaaaaanza anaendelea kuwa gf tu. Labda hata dalili za ndoa hakuna, kaona bora alivue hilo jina. Kama unataka atumie hilo jina kiukweli fanya mambo bro.
 
Mbona wewe unatumia jina lako acha kumbania rizki mwenzio au hujui raha ya msichana kidogo awe anasumbuliwa na wanaume wakimtaka kimapenzi na hii ndo confidence point yao.
NB:KUTUMIA JINA LAKO HAKUUMZUII YEYE KUPULIZWA NA WANAUME WENGINE.
 
Miaka mitatu katumia jina lako haoni incentive yoyote, ndo kwaaaaanza anaendelea kuwa gf tu. Labda hata dalili za ndoa hakuna, kaona bora alivue hilo jina. Kama unataka atumie hilo jina kiukweli fanya mambo bro.

Labda bado anasoma ndo wanafunzi wa fb.com
 
Hehehe kasheshe, watu wanasema uki ujua huu,, au kakungudua na vimada anataka akutie mikononi?
 
Mwache aendelee na utaratibu wake, ila tegemea lingine linakuja zaidi ya hilo, take care - mind you safari ni hatua
 
:israel:If she is true in love with u,dont worry jus uamuzi binafsi na kama angekua true love asinge kuambia kwamba anataka kuchange jina.ningekua mm ningetumia LOGIC kumquestion na PSYCHOLOGY kumsoma majibu yake.then premise zingekua true na valid kama unvalid ningemtell BYE BYE MA DEAR.:israel:
 
wewe unatumia la kwake? yeye ni msichana na jina lake litakuwa linaonyesha gender, sasa akiweka la kiume atatafutwaje. jina la kiume linaziba rizki bwana.
 
wana jf mimi na girlfrnd wangu tuna miaka mi tatu sasa,na katika mtandao fulani wa kijamii amekua akilitumia jina langu miaka mi tatu,hapo juzi ananiambia anataka badili jina aweke her real name,mi nimebaki na maswali mengi kichwan,yeye anasema hana sababu maalum ila ametaka tuu jina lake liwe pale,ila relationship status kasema anaiacha kama ilivo,nisaidieni maana nimekua na mawazo mengi,maybe nam judge wrong,ungekua ww ungefkiriaje?

Kama yeye alikuwa anatumia jina lako na wewe ulikuwa unatumia la nani?
 
Back
Top Bottom