ungefanya nin?[based on the true story]

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
wana jf wenzangu hebu tuelezane hapa ukweli na unachofikiri. 12 years tangu huyo baba aondoke nyumban kwake alisema anaenda tafuta maisha nchi za watu huko[south africa] na alimuachia mke watoto watatu msichana mmoja ambae ndo wakwanza na wavulana wawil. kipnd hicho msichana alikua ndo kwanza yupo std 6 na hawa wengne walikuwa wadogo bado. Mawasiliano yalikuwepo mpaka kipind bint anamaliza la saba na mama mtu alikua anajitahid aweze kumpeleka bintiye shule na alifanikiwa kwan bint alikua anampa moyo saana mamaye kwa kufaulu vizuri sekondari alisoma kwa vibali mpaka kamaliza form four. Hapo mawasiliano na mzee yalikata kipind bint yupo form one. Kila wakipiga ule namba ya mzee inaita bila kupokelewa basi bint aliendelea kusoma 5n 6 upto chuo na suala hili lamuumiza kichwa saaana hajui afanye nin amtafutaje babaake na isitoshe hakua baba mwenye tabia mbovu aliipenda familia yake saana na mkewe but mpaka sasa hawajui kama mzima au laah kuna wakati inamuuma saana pind amwonapo mamaake analia kuhusu hilo jambo na bado pia mama ndo anafanya kila njia kuwezesha familia yake isome, ile, itibiwe na kilakitu. Swali nikwamba msichana huyu anahaki yakumchukia babaye? Au afanye nin?

Note: ts serious matter matan sitaki hapa. Vigezo na masharti vizingatiwe hapa
 
huna haja ya kumchukia.....
Hakuna kitu kigumu kama kuishi na chuki.......
Hata kama baba kapata binti wa kizulu...

Ila duniani kuna mengi, mna uhakika huyo baba mzima?
Au kawekwa ndani? South kuna mengi..........
Msihukumu kabla hamjajua nini kimempata
 
It is worth it kumuombea na kuendelea kumtafuta, Inshaallah Mungu atafanya njia pasipo na njia.
Pengine nae ana matatizo huko alipo. Ila mkimpata na hana tatizo, pandisha vioo fasta!
 
mi nashaur asimchukie wazid kumuombea maana huwez jua tatizo nini, kama kawatupa kweli itajulikana, na kama kafariki pia itafahamika ipo siku maana dunia duara, azid kumuomba mungu awape nguvu na faraja.
 
Nasty!
Iwe iwavyo mtoto kwa maana ya mtoto, hana/hapaswi na pia HAIKUBALIKI kutoa JUDGEMENT against her/his parents whatever!
Note , mzazi anaweza mkosea mwanae kwa moja ama jingine, bt wa kuhukumu kosa la mzazi awe Baba au Mama si mtoto! Hukumu hiyo huachiwa Mungu , incase muhusika ni mwenye kuamini Mungu yupo.
Kwa asie amini Mungu (simsemei kwani sijui utaratibu wao)
Nilipata kwazwa sana na R.I.P Kanumba kuacha wills ya kumhukumu Baba yake!
Na hiyo ilinifanya nipate some minor elements kuamini inavyosemwa kua celebrity yule alikua Freemason.
 
napita tu.. stry inauzunisha nsije toa choz asubuhi asubuhi hivi.!! hope wewe sio mlengwa hapa beibe nasty
 
Last edited by a moderator:
inauma kiukweli...lakini pia haina haja ya kumchukia kwani backgrounds zake ni swafii...sote hatujui kapatwa na nini huko SA!...NI KUMUOMBA MUNGU NA KUFANYA MBINU MBALIMBALI ZA KUMPATA...(Sio mtaalamu ktk hili)
 
Kimsingi ni kwamba hapaswi kumchukia baba yake hata kidogo kwani baba hakuwahi onesha element za chuki kwake ama familia nzima (kwa mujibu wa ulivosema kuwa alikuwa baba mzuri). So mdada amtafte kwa kadri awezavyo kama ni kutangaza katika media ma mitandao ya kijamii ili ampate baba yake.....BTW beibe nasty mic uuuuuu
 
Imic uu too charming lady.
 
Last edited by a moderator:
inauma kiukweli...lakini pia haina haja ya kumchukia kwani backgrounds zake ni swafii...sote hatujui kapatwa na nini huko SA!...NI KUMUOMBA MUNGU NA KUFANYA MBINU MBALIMBALI ZA KUMPATA...(Sio mtaalamu ktk hili)

Nashukuru bagha
 
Nasty!
Iwe iwavyo mtoto kwa maana ya mtoto, hana/hapaswi na pia HAIKUBALIKI kutoa JUDGEMENT against her/his parents whatever!
Note , mzazi anaweza mkosea mwanae kwa moja ama jingine, bt wa kuhukumu kosa la mzazi awe Baba au Mama si mtoto! Hukumu hiyo huachiwa Mungu , incase muhusika ni mwenye kuamini Mungu yupo.
Kwa asie amini Mungu (simsemei kwani sijui utaratibu wao)
Nilipata kwazwa sana na R.I.P Kanumba kuacha wills ya kumhukumu Baba yake!
Na hiyo ilinifanya nipate some minor elements kuamini inavyosemwa kua celebrity yule alikua Freemason.

Hun mekuelewa
 
huna haja ya kumchukia.....
Hakuna kitu kigumu kama kuishi na chuki.......
Hata kama baba kapata binti wa kizulu...

Ila duniani kuna mengi, mna uhakika huyo baba mzima?
Au kawekwa ndani? South kuna mengi..........
Msihukumu kabla hamjajua nini kimempata

BT umeeleweka kipenzi
 
Sasa hii story si ingehamishwa MMU?
Imekukwaza ama? Halafu kila thread ambayo ipo hapa unahis hii ni sehemu yake husika? N besides iwanted an opinion on the case nt where to place this thread. Sorry kwakukwazika we mwali we
 
Kwanini amchukie baba yake wakati hajui yuko katika hali gani?
Waweza kutwa kafungwa gerezani na hana namna...
So ni bora aongeze maombi coz kama angekuwa na hali nzuri angesharudi nchini kukaa na familia yake...!
Amwombee tu kokote aliko awe salama ili siku moja amwone tena.
 
Amina shem wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom