Unge mshauri nini huyu dada?

Sometimes its better kuitwa mbeijing, yeye anamchekea chekea tu?? Khaa! Ameshindwa nini kumuweka chini na kumsomea dukuduku lake? Au anasubiri kuugua vidonda vya tumbo? Watu wengine kwakweli upole wao utawaponza, yaani anamuona kabisa yuko na mwanamke alafu anamsubirishia aje kumuulizia nyumbani?? Na kuwaibukia live live ili wajue kabisa amewaona? Ndo maana mwanamme ana kiburi!
 
sikufeel hilo neno kali sana jamani mweh! cjui mama wawatu aliumiaje aliposikia hilo neno ckufeel
 
yiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii? ulidhani
sasa kungekua na haja ya kuwa na mwenza.........
wawapi wewe?.

Teh teh teh teh, me ni wa kishumundu mkuu, yaani wanawake wanavyoringaga utafikiri wao hawapati RAHA vile, dah anyway tutaanzisha sread ya topic hii, acha wadau waeendelee kumshauri mlengwa!
 
Back
Top Bottom