Unga wa Ubuyu unatibu nini?

ina vitamin c nyingi kuliko machungwa
wadau kuna mwanafunzi form six ana D,E,S na diploma ana 2.8 GPA. anataka akafanye bachelor, kwa qualification za sasa inaonekana hana. je afanye nini Ili aweze kujiunga na bachelor?
 
ila yakupasa unywe wenyewe usichanganye na kitu chochote. Kwa upande wangu imenisaidia sana kuni shape mwili japo imechukua muda kidogo
Mkuu ukichanganya na kitu kingne chochote kinazaliwa nn?

Vitamin vitapotea au inakuaje hapo?

coz me huwa napenda kuchanganya vitu kutokana ni vigumu kutumia hvyo vitu separately

Mfano huwa napga mix ya tangawizi, mdalasini, ungawa was maboga, asali na mronge

Kwny hii mixer nilitaka niongezee unga wa ubuyu kwa pamoja

Je, kuna madhara gan nikichanganya badala y kutumia separately?
 
Wadau kuna rafiki yangu kanishauri niwe angalau kwa siku ninywe juisi ya unga wa ubuyu eti ni nzuri kiafya na hakuniambia kwa kina faida yake.

Mwenye kujua tujuzane tafadhali faida ntakayoipata kiafya.

Asanteni.
nmeifuatilia zaidi...

Ni dawa bora kwa wale ndugu zetu wenye matatizo ya UKIMWI (Upungufu wa King Mwilini)

coz huu unapandisha kinga ya mwili kwa kasi sana na ukosefu was kings y mwili ndo ukimwi wenyewe huo

pia nmekuja kugundua kwann kuna baadhi y watu walipata ukimwi muda mrefu hawatumii ARVs isipokuwa wanadeal na ile misosi na vitu km hv ambvyo vinapandisha kings zao za mwili

Nimeshiba na elimu niliyoipata kweli ARVs ni biashara 2 daah
 
Back
Top Bottom