Unfaithful men have lower IQs

i am just wondering what would be the IQ ya wanawake wanaocheat!!

They are a rare species... but those that exist they are a replica of what the white man calls blondy/airheads....Another research another day.
 
bill clinton
tiger woods
kobe brayant
jonh edwards
john f kennedy
michael jordan
bill cosby.
the list is so big,,,,,,
huwezi sema watu wote hawa wana low iq.
 
bill clinton
tiger woods
kobe brayant
jonh edwards
john f kennedy
michael jordan
bill cosby.
the list is so big,,,,,,
huwezi sema watu wote hawa wana low iq.
let tell you Boss, kila research ina sample size na frame yake, kwahiyo inategemea pia hayo. na ukiangalia kiundani almost every successful man kwa namna moja au nyingine anakua amecheat (majority)... sasa inaonekana you have to have lower IQ to be succesful
 
bill clinton
tiger woods
kobe brayant
jonh edwards
john f kennedy
michael jordan
bill cosby.
the list is so big,,,,,,
huwezi sema watu wote hawa wana low iq.

The truth the above did not live a mark in the academic/scholarly world. They played games, were called MR President (their success as a result of the women who supported them), acted in movies and comedies and sang loveless songs. Ukifuatilia kwa makini those with high IQs are mostly introverts na hawapendi kuwa kwenye spotlight.

Kumbuka approach aliotumia Hillary kuzima Billewinsky scandal, that you need high IQ na Emotional Intelligence.

Lkn haina maana kwamba na low IQ hauwezi kufanikiwa. Ina maana you need to work twice or thrice harder than those with high IQ.
 
Hıı ına ukwelı kwa kıası flanı bwana!
 
Hıı ına ukwelı kwa kıası flanı bwana!

...hitimisho langu, wooote wanaokamatwa ugoni ndio wenye low IQ!
Huwezi kuwa na IQ za kukutosha halafu eti ubambwe, acheni tu nyie...
 
Ukitaka kujua IQ zetu nenda kwenye daladala angalia jinsi watu watakavyojipanga kusimama ili wakae vzuri au wasimame vzuri,kuna wengine hata kusimama vzuri wanashindwa maana IQ yake ndo imefikia kikomo,mwenye IQ ndefu ataona tatizo na kumwambia simama hivi au shika hapa usimame vizuri,lingine upangaji wa mizigo ndani ya daladala,utakuta mtu anaweka mzigo namna ambayo ni kero kwa wengine na hao wengine wanamgombeza huyo alitua mzigo wake.

Nakupa mfano; kuna siku nilipanda daladala la Posta-Mwenge,ndani ya daladala kulikuwa na jamaa alivuja sana majasho,basi alichofanya ni kuvua tshrt lake ili kupunguza joto ndani ya daladala hapo!! sasa wengine wakaona siyo fair kuvua shati ndani ya daladala kuna jamaa mwingine alimwambia huyo aliyevua utavuaje shati ndani ya gari na hata sisi tunavuja majasho kama wewe lkn hatuvui,jibu alilotoa huyu jamaa alitamka maneno haya;ninyi wapumbavu kaeni kimya. Hapo IQ ya aliyevua shati ni ndogo hii ina maana katika mazingira yoyote anaweza kufanya lolote la kipumbavu!

The same to this mada kwamba wanaume ambao ni Unfaithful yawezekana kuwa na IQ ndogo lkn si wote hata wenye IQ kubwa wanaweza kufanya haya ila mara chache!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom