Unene na raha zake.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
7.jpg
MziziMkavu inaonekana ushauri wako hauwafikii watu wa vijijini.
 
Last edited by a moderator:
huoni huo ni ugonjwa? sasa una raha gani? unaponenepa sana mguu inashindwa kubeba sahem ya juu ya mwili matokeo yake mifupa inchoka hata kusagika. siyo kitu cha kucheka hata kidogo.

Njia za kuepuka unene nyingi sana but ambazo ni rahisi apart fom dietry contol kuna mazoez kama vile kuogelea. tena hili huwa linapunguza mwili kwa muda mfupi sana, lakin pia aerobics zipaunguza mwili. nafikiri MziziMkavu atawaambieni zaid.
 
Last edited by a moderator:
maunene mengine ni ya kurithi sa itakuwaje kwa watu kama hao maana hata zoezi halisaidii chochote.
 
maunene mengine ni ya kurithi sa itakuwaje kwa watu kama hao maana hata zoezi halisaidii chochote.
Kweli alikuwa ni mnene wa kurithi, lakini sasa anakula pension plus marupurupu ya bure ambazo zinatokana na jasho la mtanzania wa kima cha chini.
 
maunene mengine ni ya kurithi sa itakuwaje kwa watu kama hao maana hata zoezi halisaidii chochote.
kweli kuna unene wa kurithi hata afanye nazoezi vipi mwili haupungui, ni kama vile wembamba wa kurithi hata ale vip hanenepi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom