jamani hii inasababishwa na kutofanya mazoezi? kujiachia kwa kutofata mipango mizuri ya mlo? au ni wagonjwa tokea zamani?
nnaomba mnisaidie maana unene wao unatisha wakuu, kwa hali hii wakifa tusije kumzulia chenge kabisa !!!!
'
View attachment 1717
Mbunge wa Kigamboni, Bw. Mwinchoum Msomi akiongozana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Bw. Hamza Mwenegoha wakati wakiingia bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Emmanuel Kwitema)
Duu japo nami hali si nzuri lakini hawa wenzetu inabidi wapate nasaha, kweli hii inatisha. By theway, ile perdiem inayo zidi mshahara wa wa mwenzi mzima wa nesi anaye kesha akiokoa maisha ya wagonjwa ambayo huwa wanaipata kwa kusinzia kwenye viti vizuri na kiyoyozi cha nguvu ndo matokeo yake hayo!.