Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,137
Habari ndio hiyo 2010 siyo mbali tuangalie watuwa kuchagua siyo hivyo vitumbo vya kwenda kusinzia bungeni.
Hii hali husababishwa zaidi na kula hovyo na kutokuuweka mwili active - Mtu anayeenda baa umbali wa mita 200 kutoka nyumbani kwake kwa gari, akili haishughulishi optimum-ly, msosi kila akijisikia hamu, kuridhika to some extent ni sababu haswaa za unene huo....... Ni vichekesho hawa jamaa sijui hata kama wanaperform
Hapo ni matatizo tu mzee!
jamani hii inasababishwa na kutofanya mazoezi? kujiachia kwa kutofata mipango mizuri ya mlo? au ni wagonjwa tokea zamani?
nnaomba mnisaidie maana unene wao unatisha wakuu, kwa hali hii wakifa tusije kumzulia chenge kabisa !!!!
'
View attachment 1717
Mbunge wa Kigamboni, Bw. Mwinchoum Msomi akiongozana na Mbunge wa Morogoro Kusini, Bw. Hamza Mwenegoha wakati wakiingia bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Emmanuel Kwitema)