GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 160
aaaah wewe najua hupati hata 60k kwa mwaka.....unajua UN specialist kama SHY atalipwa $ ngapi?
Hujui nina make kiasi gani so funga karai lako...sihangaikagi na kazi za ulimwengu wa tatu...
Unajua Fortune 100 ni nini wewe?
hizi kazi za UN huziwezi na degree yako ya kufuga nyuki
HAWA JAMAA WANANIFURAHISHAGA SANA, teh teh tehhh teh