Underwater train tunnel to link Zanzibar to the mainland

msemakweli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,627
880
An underwater tunnel connecting Tanzania mainland to Tanzania Zanzibar is in the offing. The tunnel, which is scheduled to be operational come 2030, will carry high speed passenger trains, roll-on/roll-off train ferry service for motor vehicles (cars are ferried across on train wagons) and international freight trains. The tunnel is part of the East African Railway master plan, will be around 50km long and is estimated to cost in excess of $10bn.
Untitled.png download.jpg ch.jpg images.jpg
NB: there is no such project underway and this is all purely a product of my imagination! I however do think that it should be done, to cement the tie between Zanzibar and Tanganyika, for it will allow free movement of people and goods between the two, and will also boost tourism in the country (it will be Africa’s first). All in support please like!
 
10 bil zingetumika kwa mambo mengine yenye faida za kiuchumi,mfano ujenzi wa reli kuunganisha mikoa yote ya Tanganyika hapo Zanzibar ndege na meli zinatosha kabisa,pili uchumi wa Zanzibar ni mdogo sana tatu ugaidi kufikia mwaka 2030 utakuwa umepemba moto sana nne katika mpya ikija Zanzibar itakuwa nchi huru gharama zote za nini.
 
hahahaa, naona jamaa amekukamata; HAKUNA MRADI KAMA HUO!
 
10 bil zingetumika kwa mambo mengine yenye faida za kiuchumi,mfano ujenzi wa reli kuunganisha mikoa yote ya Tanganyika hapo Zanzibar ndege na meli zinatosha kabisa,pili uchumi wa Zanzibar ni mdogo sana tatu ugaidi kufikia mwaka 2030 utakuwa umepemba moto sana nne katika mpya ikija Zanzibar itakuwa nchi huru gharama zote za nini.
Gharama 50% China, 10% EAC, 10% AfDB, 15% SMZ na 15% SMT (hypothetically)
 
Daraja la kigamboni bado tunalisubiri na hii unataka tuseme ndiyo mzee? Ni wazo zuri ila baada ya vizazi viwili baada yetu, tuna matatizo mengi Tz.....hii peleka mwaka 2110 wataifanyia kazi
 
Daraja la Kigamboni tayari saiv. Na huu mradi by 2030 hivi i expect it to be up and running!
 
10 bil zingetumika kwa mambo mengine yenye faida za kiuchumi,mfano ujenzi wa reli kuunganisha mikoa yote ya Tanganyika hapo Zanzibar ndege na meli zinatosha kabisa,pili uchumi wa Zanzibar ni mdogo sana tatu ugaidi kufikia mwaka 2030 utakuwa umepemba moto sana nne katika mpya ikija Zanzibar itakuwa nchi huru gharama zote za nini.
Chuki tu. hata akili hutumii mueka hii kitu kasema anayafikiria hayo kichwani mwake hamna kitu kama hicho serikalini haaaaa yaani mnavyoichukia zanzibar kama vile ipo kwa bahati mbaya, andameni basi kuugomea muungano maana wazenj wenyewe nao hawana hata hamu na watanganyika.
 
Wenzetu wa nchi zilizoendelea walianza na mawazo kama haya na wakafanya kweli. Pesa ikiwepo chochote kinawezekana. Wazo zuri!
 
Back
Top Bottom