Understand that speacial lady you have fallen for....

Itabidi PA tuhamishie kijijini.... ha ha ha... umeona Mentor alivyosema....
Toka jana naona una hints za blackmailing umekataa... haya bana nimbanie tu!
Hahaha!! Mentor imebidi nimgongee LIKE kwa maana amenifanya nicheke sana kwahiyo inabidi watu wawe wanadangaya wanasema mimi sio wa Dar lolz
 
Yap she is back
My dear kwa kiasi fulani kikubwa tu
Bakubaliana nawe ..
Ningependa kusema saa nyingine
Miaka ni number tu ila maisha ya
Mtu alivyokulia ndicho kinacho mfanya binadamu awe alivyo. .. viitu kama background, culture, parenting etc ....

Nway karibu sana..
Nimependa jina (ADI)
 
Hahaha!! Mentor imebidi nimgongee LIKE kwa maana amenifanya nicheke sana kwahiyo inabidi watu wawe wanadangaya wanasema mimi sio wa Dar lolz

Umeona eeeh??? I hope wadada wa mjini wameichukua hii....lol
 
Yap she is back
My dear kwa kiasi fulani kikubwa tu
Bakubaliana nawe ..
Ningependa kusema saa nyingine
Miaka ni number tu ila maisha ya
Mtu alivyokulia ndicho kinacho mfanya binadamu awe alivyo. .. viitu kama background, culture, parenting etc ....

Nway karibu sana..
Nimependa jina (ADI)

AD bana... nimeipenda in bolded purple....lol...

Nakubaliana na wewe kabisa... alafu umenote
kua most wadada wa hapa town si wazawa...
I bliv ndo maana most hua limbukeni for they come
wakiwa katika a ripe age (wadada sorry, simaanishi woote)

Thanks for the warm welcome dear..
Me love you love my name...lol
 
14-18 pamoja na kukatazwa ndio penye true love
Kigezo ni mapenzi na sio vikorombweza pesa/kazi/baba yake nani serikalini/kabila/dini.

Ni kweli kabisa ndo pene true love,
na ndo penyewe most wadada huumizwa na
kubakilishwa mawazo juu ya mapenzi ya kweli..
 
AW mwaga basi ideas tokana na experience zako... (if you don't mind...)

Kwangu mimi naona ni vizuri kwanza kutambua tunacho kitaka kwenye mahusiano. Wewe binafsi na sio kutamani unacho kiona kwenye mapenzi ya watu wengine.

Jaribu kumjua mtu vizuri kabla ujajenga naye uhusiano. Wengi wetu tunakurupuka sana na physical attraction na kupuuza tabia ( jaribu kutambua historia ya mpenzi wako kwenye mahusiano yaliopita hili uweze kutambua vitu vilivyomtoa huko alipokuwepo na ujaribu kuangalia kama ndio vitu mabavyo utaweza kumpa).Kuna wengine wanapenda kudanganya, hio sio tatizo kwani time will tell. N a pia binadamu tunabadirika kwahio ni vizuri kujenga mawasiliano ya kuambiana mapungufu yetu hili tujirekebisha. Kama mtu hapendi kujirekebisha hili mahusiano yawe mazuri, kwangu mie sidhani kama anafaa kuwa na mimi.

Kingine ni kwamba kuna vishawishi vingi tunakutana navyo kila siku na mtu anaweza kubadirika, ni vizuri kutambua hilo hili uweze kujiandaa na chochote kitakachotokea na sio kufikiria kwamba maisha yako ya mapenzi haya wezi kuendelea bila ya mtu X.

Hayo ndio machache yameweza kunisaidia baada ya kuumiza akili sana na kuajribu kulazimisha mapenzi. Kupenda sio tatizo, tatizo ni kwamba je unaye mpenda anatambua upendo wako na kuthamini upendo wako?

Ni complicated na kila mtu ana njia yake lol.
 
Nakubali yooote uloongea na nimependa for it is a useful insight kwa atakae kua interested..

Kitu ambacho huharibu mapenzi ni kua we fall in love na qualities we want in people before meeting the people themselves... oh nataka a beautiful woman, awe namba nane, awe exposed na HOT, awe kaenda shule but mwisho level ya Masters, awe smart na mrembo all the time mpaka rafiki zangu wanionee wivu, awe na mvuto ... awe awe kibao... inapofika wakati wa kumtafuta galfrnd you end up looking for qualities you have fallen for... bila kumuangalia yeye as a person... who is she... sometimes uko karibu na a very good lady, a good person at heart ila tu hana the qualities you want.. THUS fail to see her completely mpaka wajanja wamuone.... The same applies to us ladies..
 
oooo..thank God I won't have to deal with those!!! Yani sasa hivi niko kikazi huku for a while lakini i dont want kuzoeana hovyohovyo!!!as long as umespend at least three yrs in Dar..u r off my list!!! seriously!
Seriously?!?!?Dah mna kazi wakaka!!!
 
Nakubali yooote uloongea na nimependa for it is a useful insight kwa atakae kua interested..

Kitu ambacho huharibu mapenzi ni kua we fall in love na qualities we want in people before meeting the people themselves... oh nataka a beautiful woman, awe namba nane, awe exposed na HOT, awe kaenda shule but mwisho level ya Masters, awe smart na mrembo all the time mpaka rafiki zangu wanionee wivu, awe na mvuto ... awe awe kibao... inapofika wakati wa kumtafuta galfrnd you end up looking for qualities you have fallen for... bila kumuangalia yeye as a person... who is she... sometimes uko karibu na a very good lady, a good person at heart ila tu hana the qualities you want.. THUS fail to see her completely mpaka wajanja wamuone.... The same applies to us ladies..

Kweli kabisa. Na mie pia maelezo yangu yalikuwa kwa pande zote.

Wengi wetu tunakurupuka, na ndio maana nimependa sana ulivyo tofautisha umri labda watu watawaze kutambua kwamba siko kwenye umri wa kukurupuka tu bali niko kwenye umri wa kuandaa future yangu. Mimi binafasi vigezo vyangu vimebadirika kutokana na umri wangu.
 
Partner asante kwa thread nzuri...mengi ambayo ningesema naona waliotangulia wameshaniwahi.
Nnachoweza kuongezea ni kwamba though kwa kiasi flani uko sahihi wakaka wataanza kuwa‘lebell‘ wadada kitabia kwa kutumia umri.Kitu ambacho sio kizuri maana sio wote unaoweza kugundua atakua katika stage gani ya maisha kwa kutambua umri wake.Alafu nasema huku mwenyewe hua nafanya hivyo kwa wakaka na wadada nnaotokea kuanza urafiki nao...i should probably change and tryanna get to know ‘em before saying ‘naaah he/she is too mature‘ maana hata wadada naprefer walio zaidi ya 25.Ila wakati huo huo wapo wasichana wadogo ambao experience za maisha zimewakuza zaidi ya umri walio nao.Kwahiyo enyi wakaka
mnaoogopa sijui wanawake wa Darisalamu na kusema walio under 28 hawajamature bado jaribuni kuwajua wao kama wao ni watu wa aina gani.Ndio wapo wa chache but who knows...labda na wewe utakua mmoja kati ya walio na bahati ya kukutana na hawa wachache waliokomaa kiakili wakati
mwingine hata zaidi ya wakubwa zao!!!
 
Kweli kabisa. Na mie pia maelezo yangu yalikuwa kwa pande zote.

Wengi wetu tunakurupuka, na ndio maana nimependa sana ulivyo tofautisha umri labda watu watawaze kutambua kwamba siko kwenye umri wa kukurupuka tu bali niko kwenye umri wa kuandaa future yangu. Mimi binafasi vigezo vyangu vimebadirika kutokana na umri wangu.

With age views hasa kuhusu love and relationship huchange....
kwa wale wachache wajifunzao tokana na makosa...
 
Partner kua the above... i need your brains hapa...BTW jana ilibidi nikimbie, bado sijafika movie site... will go soon
All done partner...I figured...leo nadhani zamu ya X-man...ila tusichakachue hapa bana...tutakutana kule!!!
 
ha ha ha.... mie sina mbavu, kumbe dawa mdada akionana nawe aseme mimi mgeni hapa Dar??lol
Hahahaha...Asha D...kama amepitia hii thread mayb!
Ila nawapenda kwenye having fun..ukiwa nao u rily enjoy ur tym (i.e. friday jioni nkitoka kazini na saturday)...afta that sitaki kujuana!
It's like they never think of the future..kwao ts jus spending lyk there's never tomorrow!
Afu wen u think wanawake wa mjini ndo wanashupalia equal rights..looh! unaeza shangaa..
jus because u r the man..utalia nakwambia! they want u 2 pay 4 everything..
hata sh. 500 ya gazeti la udaku alilonunua na muuza magazeti hana change ya 10,000 uliyotoa kulipia...damn! na anayo mfukoni..
SINA HAMU NANYI MABINTI WA MJINI!
 
Back
Top Bottom