Underground vs Wakongwe wa JF

Kwani kuna mwenye jina lake pale??
Kuna watu wanamiliki vibanda /majukwaa hata hapa Chit chat nilipigwa sana mikwara nilipodondosha thread ya 1 ....lakini sasa nishawatuliza
 
Kuna watu wanamiliki vibanda /majukwaa hata hapa Chit chat nilipigwa sana mikwara nilipodondosha thread ya 1 ....lakini sasa nishawatuliza
Hata pale ukikomaa mambo yanakuwa sawa tu, cha msingi ni kukomaa tu
 
e4e50427c8b2c776c147b40649567e8b.jpg

Mbona naona giza tu ?
 
Huu isijekuwa mlango wa nyuma katika mpango ule unaotaka admin watoe data za member wa JF
 
Hivi nikitaka kwenda mbagala kutokea masaki napita njia gani vile ????!!
Panda daradara mpaka kivukoni, ukifika panda mv dar es salaam mpaka bagamoyo, kisha panda daradara mpaka makumbusho , ulizia gari za kwenda tegeta ukizipata panda mpaka kibaoni. Kata tiketi ya gari LA mwendokasi mpaka kariakoo ukisha fika kariakoo panda daradara za kwenda simu 2000 au ubungo, ukifika ubungo panda Abood mpaka morogoro. Kisha anza kuulizia mbagala ni wapi maana hata mie sijawahi kufika huko mbagala
 
Back
Top Bottom