Uncle anamtaka kimapenzi

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,103
418
habar zunyu baana. Dunia imefikia kubaya! Kuna dada mmoja rafk yangu huwa tunaongea mambo mbali2. Jana kaniita akiomba ushaur akiwa hajui la kufanya. Dada ni mdogo ndo amemaliza f4 mwaka huu, mjomba wake ana km 45 yrs, na amekuwa akimtaka huyo dada tangia akiwa f1, kila akirudi likizo anakuwa anaomba 'majamboz' sasa dada amevumilia amechoka. 1.hata kumweleza mama yake anaogopa coz mama yake ni mkal sana,2. Kumweleza mke wa anko anaogopa kuvunja ndoa yao. Sasa kanifuata kuomba ushaur nami naona nichukue maon ya wadau wa humu jf
 
alafu hizi ndiyo tatizo za watu kuwaamini waume zao kupita kiasi na kuwaletea vishawishi...hivi kwa nini wazizi wasilee watoto wao manyumbani kwao na sio kuwapelka kwenye nyumba za nduguye ambapo tunawaweka watoto kwenye mazingira tatanishi?

hamna mtoto anayetaka kuwa chanzo cha ndoa kuvunjika au kuwekwa ndani mume wa dada au uncle......hivyo ni rahisi kwao kuishia kutakwa na kufanya mapenzi bila ya idhini yao!!!
wazazi tubebe mizigo yetu!!!!
 
Mwambie amwambie huyo anko wake akiendelea atamwambia dada yake na mkewe pia,natumai atasitisha zoezi.
 
Ah! mbona dada ze2 mnakua waoga kiasi hicho, kwani asiwe muwaz2 kama ndoa kuvunjika ivunjike 2
 
Huwezi kumwambia akae mbali na uncle, inawezekana ndiye anayemsomesha

Chakufanya aongee naye amwambie hapendezwi na tabia ya kumwomba uroda, asije akamlazimisha kulisema jambo hilo kwa mke wake na mama yk.
 
kama ndo anaekusomesha ukisema tu utarud kwenu km ndo bush haya na shule ndo kwishney,pia ukimwambia mkewe anaweza akakutenga akijua ww unataka kumwarbia ndoa yake wkt ww umemwambia kistaarabu!kazi kwako
 
akae mbali na hiyo familia,kuna siku anko atapata nafasi nzuri na atambana na kumaliza shida zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom