Unazikumbuka nyimbo za shule ya msingi (e.i. std i - iii)?

ooooh cute one...u miss me?
napendaje?hapa nimekua kama nimepigwa shot ya umeme.
usipate shot wala nini? shshshshshs Asprin asisikie lol! nipo my kaka mzima kabisa mie, hofu kwako tu! hizo baga tugawane basi.
 
Last edited by a moderator:
usipate shot wala nini? shshshshshs Asprin asisikie lol! nipo my kaka mzima kabisa mie, hofu kwako tu! hizo baga tugawane basi.

hivi ni nini na wewe kung'ang'ania icho kibabu?
au hupendi shughuli nzito...?
aya dada mm niko poa..
 
itv ndio imeanza mwaka 94, tunaimba class wanawake kuweni wenye furaha, na raha, wakai wote, popote na jessy!
jessy, pedi mpya za kike za jessy, ni nyororo raha kuvaa na kupa kinga thabiti.
wakati wote, popote, na hazina mikanda!
khaaaaaaaaaaaaa! mwalmu akitusikia ni kupiga magoti juani lol! we used kuenjoy!

hahahaaaaaaa, madame una vituko kweli! cpati picha enzi hizoooooooooo
 
jamani naomba mniwie radhi, huu wimbo siupendi ila enzi hizo tulikuwa tunauimba kwa furaha zoooooteeee

"Chama chetu cha Mapinduzi chajenga nchi, chama chetu cha mabwepande (jamani typing error, afu kifutio cha computer yangu kimeisha sababu ya kufuta sana) chajenga nchi "
Nyerere aaaaaaaah na Mwinyi wanajenga nchi x2
basi ikitokea kama Mwalimu Nyerere katembelea wilayani kwetu, tunapanga mistari tunaimbaje huo wimbo kwa nguvu kweli na jua kali likiwa linatupiga!!!!!!!!!
 
hivi ni nini na wewe kung'ang'ania icho kibabu?
au hupendi shughuli nzito...?
aya dada mm niko poa..
kibabu BAGAH? kina shughuli pevu balaa! ila na wewe nitakupa part time niuone ujana wako ulivyo! lolest!
 
Last edited by a moderator:
hahahaa. . . kuna cku nlisikia watoto wakiimba hv
dereva kondakta sista katikatix2 nkawauliza mana yake wakagoma kunambia.hv manake nini wana cc?
 
hahahaa. . . kuna cku nlisikia watoto wakiimba hv
dereva kondakta sista katikatix2 nkawauliza mana yake wakagoma kunambia.hv manake nini wana cc?

Si tulikua tunaimba dereva kondakta demu katikati na hata sijui maana ilikua maranying mdada akiwa kati ya wakaka wawili
 
Back
Top Bottom