Unazikumbuka enzi hizi?

Enzi hizo ulikua ukipiga picha kama hizi hata kama umejipaka marashi ya namnagani lazima hiyo picha ikitoka inatoka na harufu hiyohiyo!
 
  • Thanks
Reactions: tz1
GONE THOSE OLD SWEET DAYS. Old is Gold.

Enzi hizo mitaa ya Tabora ni Tabora Jazz na Nyanyembe (Kinda langu la rangi ya chungwa).
 
uuwii mbavu zangu mie! anyway big up 'braza meni' kwa hizo foto. Sasa tunasubiri zile za watu waliopiga wakiwa na redio
 
Kwa kweli maisha tuliyafaidi... acha tu tuteseke siku hizi

Imeandikwa katika Biblia; kuna wakati kwa kila jambo; wakati wa kucheka na kulia; kupanda na kuvuna; kuzaa na kufa nk.

Ukweli ni kwamba wakati uoneshwao katika picha hizi ulikuwa MZURI SANA KIMAISHA na wenye misukosuko kidogo sana ukiliganisha na leo.

Missing the OLD GOOD OlD DAYS!
 
Nazikumbuka sana.
nilipiga picha moja na maskulimeti wangu Mtwara tech, kwenye kastuli kuna maandishi
forget me not. Ahaa maisha ndivyo yalivyo. kuna kupanda na kushuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom