Unazikumbuka enzi hizi?

Shakazulu

JF-Expert Member
Feb 23, 2007
957
280
2.jpg



17.jpg



3.jpg




5.jpg




7.jpg



9.jpg



10.jpg


12.jpg




13.jpg



14.jpg



16.jpg



Picha kwa hisani ya Fresher -
 
Natamani sana turudi enzi zile mambo yalikuwa shwari sana,ukamera man ulikuwa dili sana na madem walikuwa bomba sana tofauti na wa siku hizi wamechakachuliwa sana,mpaka wamepoteza radha alafu hawajui hata majambozi,HIZO NDIO ENZI ZA NGAZI TATU BWANA,danga chee dukinaa salam za mablazaman enzi hizo.
 
Duuu hao walikuwa wanaitwa, magangwe au check bob.Safi sana.
Picha ya juu jamaa wapo beach,naona kuna gangwe mmjo amevaa chupi ya james bond 007 ilikuwa na kamfuko kamoja mbele.
 
Enzi hizo ukimwi hata haujulikani na zinaa haijapewa kipo mbele kama sasa, mabinti kuolewa na bikra ni jambo la kawaida
 
Looh! Wakati umekwenda wapi jamani....!? Asante mdau kwa picha hizi chache bali zenye ujumbe na nguvu ya fikira isiyoweza kupimika wala kuonekana kwa macho. Asante tena na hongera Mkuu!
 
Aaah umenikumbusha mbali sana, enzi hizo wasiwasi wa maisha ulikuwa haupo, mtu anatembea mpaka kijiji cha tatu usiku wa manane kufuatilia demu. Tofauti na siku hizi gari ikifunga breki wanabanana madirishani kukuonyesha bidhaa zao!
 
OMG ... Great times eh? ... how to retrieve?

Twist ..mpaka chiiiiniiiii!!, Mshati kubana sanaa!!, studio kwa kunyoosha kidole kwnye mauna na Radio mkononi ... life ...a big adventure!!

Girls kiufua waziii kabisaaaa ... I didn't go though this ..Lol!!
 
Jamani hakika imenikuna sana kwa picha hizo. Zimenikumbusha mambo mengi. Nakumbuka enzi hizo ukienda kumtembelea ndugu yako utakuta sebure imejaa picha ukutani za staili mbalimbali.
 
Enzi hizo ukimwi hata haujulikani na zinaa haijapewa kipo mbele kama sasa, mabinti kuolewa na bikra ni jambo la kawaida

Ukimwi haukuwepo lakini kisonono (gonorrhea) na kiswende (syphillis) vilikuwepo
 
Inaelekea zamani kulikuwa hakuna wanene. Picha za siku hizi vijana wanaonekana matipwatipwa. Zamani walikuwa wamekaukiana. sijui ni sababu ya shida au vipi. hebu tuelezeni.
 
  • Thanks
Reactions: Edo
Picha nzuri sn,zinanikumbusha picha za baba yangu naye alipiga enzi zake akiwa kijana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom