Unazikumbuka enzi hizi kabla hujatokwa na maziwa?

:happy: kwa kweli lakini watoto wetu wa siku hizi ni mmhhhhh
 
kuna kamwalim kalikuwa kanatusomesha faida za mboga za majani halaf kanatafuna marungi mbele ya class, shenz!, halaf kanatuimbisha.

"Mboga ni mboga
nyengine zinanoga
usile kwa woga"

kulaleki! somo lake tulifeli wote
.
 
ha ha ha haaa, umenifurahisha sana klorokwini, hako katicha kenu katakuwa kalikuwa kanavuta na Bangi.
 
Me nilikuwa mzembe sana kwenye kombolela nasafa mwanzo mwisho, basi wakienda kujificha na mie nawah home. Bas watoto wakawa hawatak kucheza na mimi.
 
Back
Top Bottom