Unazijua couples zilizomo humu JF.?

Mmasi

Senior Member
Oct 26, 2011
164
15
Wakuu nataka kuchukua statistic ya couples za member waliokutana humu Jf.naombeni ushirikiano wenu wa kudumu?
 
Hizi chini ndio couples zilizomo humu JF kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwatumia PM......

:caked: :boink: :croc: :bump2: :argue: :hug: :busu :gossip:
 
h a ha ha ha
The Finest wewe wajidai mwehu
anataka kapo yako na yule
Hizi chini ndio couples zilizomo humu JF kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwatumia PM......

:caked: :boink: :croc: :bump2: :argue: :hug: :busu :gossip:
 
Kingosho, ya TF na yuleee ni hiyo ya mamba mla watu. Afu TF na yule mwingine ni hiyo ya busu.
Afu mie na wewe pia si ni couple ya gossip, ama?
Hizi chini ndio couples zilizomo humu JF kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwatumia PM......

:caked: :boink: :croc: :bump2: :argue: :hug: :busu :gossip:
 
El Toro na Fe Lady mtatutaka....

African-Couple-Tree-1611079.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom