Unawezaje kutesa familia na kufata makahaba wake za watu na umri huu 33

Asante sana kwa kuniitia gfsonwin amekuwa msaada ila wewe umeita ukakimbia japo moja tu latosha jiachie na kaushauri please

Nilimuita ili upate ushauri mwingine. Mimi ushauri wangu hautofautiani na wengi; she should pack her things and go, no one deserve to be treated like that!
 
Wanawake wanatumia njia mbaya kuwateka wanaume. Ni wanaume wachache sana kama hakuna wenye michezo ya kishirikina kwenye mapenzi, ila wanawake wa nje wengi wanafanya hayo mambo na mnabaki kutulaumu sisi wanaume kumbe kuna nguvu zaidi ya binadamu imeingizwa kwake. Kwa hayo uliyoyaeleza hapo juu, hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayeweza kufanya hivyo kama hana mashetani kichani mwake.

hapo umesema neno in that case maombi ni ya muhimu hata kwa kufunga atapona shemeji yangu na akipona huyu mama atakuwa balaa kwa uzuri na umbo lake akipata raha kidogo jamaa ataua mtu ukimsalimia mkewe ila wanapenda hivyo hivyo sijui ni nini kinamtesa na kama ndo kimbola kimeshaanza kuungua nitafunga kila siku masaa 6 kuungana na mpendwa huyu kutoka ukoooooooooo na kids wazuri hao
 
Nilimuita ili upate ushauri mwingine. Mimi ushauri wangu hautofautiani na wengi; she should pack her things and go, no one deserve to be treated like that!

i know that but sometime inabidi tuache kujifikiria wenyewe when its come kuna watoto wanampenda dad wao ajabu wakimkosa maumivu hayatatofautiana na ya mama yao then nikileta utasikia wakisema si angeangalia mambo ya watoto it hard 2 please kila mtu
 
Ushauri wa bure kwa mwanamke ni vyema akaondoka hapo nyumbani ataepusha tatizo kubwa la kupatiwa ukimwi. Maisha yatajipanga baadaye
 
kwa kweli sijui nisemeje zimwi likujualo halikwaishi mambo ya maisha ya wanandoa hawa yamekuwa ni ya kushangaza tu
 
Back
Top Bottom