Unaweza ukaathirika kwa kula denda na mtu ambaye kaathirika?

SAINT_SAI

Member
Aug 19, 2012
51
6
Mara nyingi imezoeleka kuwa Vimelea vya Ukimwi 'VVU' vinaambukzwa kwa njia ya damu. Hivi kunyonyana mate na mtu ambae ni muathirika wa HIV/AIDS anaweza kukuambukiza virusi vya Ukimwi? Na kama ni NDIO, Kuna njia mbadla ya kinga kwa wale ambao wanapenda kula denda?
 
Ingekuwa ni kweli kwa 100% naona rate ya maambukizi ingekuwa 60% na si 7% iliyopo sasa hivi. Ni vizuri kuwa makini lakini ukitokea umedendeka na mtu halafu ukaja sikia ni muathirika usipanic saaana!
 
kama una michubuko na yeye ana michubuko kwenye kinywa chake uwezakano wa kupata maaumbukizi makubwa. kama vyote viwili havipo huwezi pata maambukizi ila chukua taadhari kama umehisi.
 
Kwenye saliva wanadai virus havikai,ukigoogle ndo watafiti wanadai hivo.
Ila Hepatitis B unapata kwa denda na hakuna tiba yake.
Mimi denda is a no go zone.
 
Mate yana vimelea vya virusi vya ukimwi japo si kwa kiwango kikubwa. Wanaotoa semina za ukimwi wanaasa kabisa kuwa usifanye tongue kiss, na kulamba kule kunako kwa wote wawili. Kwa hiyo kama si mpenzi ni mtu mmekutana tu achana na huyo ktu kabisa!!!! Hata mchezo wa kuchezea kunako wakati wa masuala hayo achana naho kabisa. Iwe kijeshikijeshi kwa wale ambao si wapenzi mliopimana. But suali la kizushi!!! Hivi unakubalje kutembea na mtu siku hizi bila kupima afya na kuaminiana? Kwa tahadhari mtu yeyote kama mkitakana na mmoja akawa anabisha kupima kimbia ufe kama umemwona polisi wa Tanzania na silaha ikiwepo bomu!!!! Kupima siku hizi less than 30 minutes na unaondoa adha ya kuugua na kuishi kwa hofu over years with ARV!!! Acha ngono zembe, julize tuko wangapi? Tulizana!!! Vunja mtandao.
 
USA wameanza kutumia kipimo cha HIV kwa kuweka mate kwenye kifaa cha kupimia. it's a spit and read. Kaa chonjo, wadudu wapo.
 
Ingekuwa ni kweli kwa 100% naona rate ya maambukizi ingekuwa 60% na si 7% iliyopo sasa hivi. Ni vizuri kuwa makini lakini ukitokea umedendeka na mtu halafu ukaja sikia ni muathirika usipanic saaana!

Msalimie sana Erotica popote alipo. Umuelimishe pia kuhusu hili...
 
Msalimie sana Erotica popote alipo. Umuelimishe pia kuhusu hili...

Zimefika, ila yuko choka mbaya unafikiri anahamu ya denda tena?

Tumekubaliana nitamrecord wakati anajifungua, l can't wait kusikia atakavyokuwa awatukana. Usihofu nitaipost YouTube hiyo clip! LOL
 
Back
Top Bottom