Unaweza Kuwatambua Hawa?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Nimewa miss sana hawa watangazaji, je unawakumbuka?
Watangazaji-Zamani.jpg

Picha kwa hisani ya RM for the photo!
 
Enzi za Black and White, tulikuwa tukiwasikia kwenye redio sidhani kama tunawajua kwa sura.
 
Hivi na wewe hujui kama siku hizi kuna Effect ya kuifanya picha itokee unavyotaka?
Hapo namuona uncle J, Suzan Mungi na marehemu John Ngahyoma R.I.P.
 
Najua hiyo kitu ipo hii picha si ya leo jana wala juzi, you are roughly talking about 15+ back....morestill ni zama za kufatia camera studio angalia background.
 
Kipindi cha picha hiyo inapigwa tulikuwa hatupo kwenye zama za black & white unless utake mwenyewe hiyo black & white na hata sehemu nyingi hasa vyeti vya shule walikuwa wanahitji upeleke black & white. kitu ambacho wakati huo hatukuwa nacho ni Digital technology tu.
 
and your point is....
 
rukia mtingwa, nyaisanga, marehemu ngayoma,Kilumanga. its like the dream team.
 
Hivi na wewe hujui kama siku hizi kuna Effect ya kuifanya picha itokee unavyotaka?
Hapo namuona uncle J, Suzan Mungi na marehemu John Ngahyoma R.I.P.

...Kama hujui Uliza, Usipotoshe! Hakuna Suzan Mungy hapo. NI Sauda Simba Kilumanga kushoto na Rukia Mtingwa Kulia!
RIP John Ngahyoma. We Miss You man!
 
Ingependeza zaidi kama ungetutajia wote waliopo kwenye picha hapo nadhani tungeona kweli unajuwa zaidi, maana unaonekana huna tofauti na wale wanaojifanya wanajuwa idadi ya Mabasi kati ya Shabiby na Abood nani anamiliki mabasi mengi.
Sifa za kijinga!!....
 
Punguza Ushamba. Wapi nimeandika kuwa nawajua wote ama najua zaidi? Nawafahamu hao niliowataja tu na kama mtu kakosea kuwataja nadhani ni wajibu kumuambia asipotoshe na kusahihisha, kosa liko wapi.

Comrade, kama kuna mtu anajua ni nani ana mabasi mengi kati ya Shabiby na Abood na wewe HUJUI, mpe sifa yake badala ya kulalama kuwa anataka sifa za Kijinga. Ndivyo watu wanavyojifunza, kuelimika na kupata UELEWA. Pole We.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom