Unaweza kuwa MVUMILIVU ila sio lazima uwe MSTAHIMILIVU!!

Ngoja niende TUKI

Ujue hayo maneno ulosema ni topik ya set kwenye hesabu.
Unachotaka kusema ni kipi kati ya hizi?

1. Mvumilivu ni subset ya msahimilivu?
2. Mvumilivu na mstahimilivu ni disjoint sets?
 
Ngoja niende TUKI

Ujue hayo maneno ulosema ni topik ya set kwenye hesabu.
Unachotaka kusema ni kipi kati ya hizi?

1. Mvumilivu ni subset ya msahimilivu?
2. Mvumilivu na mstahimilivu ni disjoint sets?

Math addict! Lol
 
Ngoja niende TUKI

Ujue hayo maneno ulosema ni topik ya set kwenye hesabu.
Unachotaka kusema ni kipi kati ya hizi?

1. Mvumilivu ni subset ya msahimilivu?
2. Mvumilivu na mstahimilivu ni disjoint sets?

Maths addict! Lol
 
Babu yangu aliniachia wosia wa utajiri wa semi nyingi sana.
Mojawapo ya semi hizo ni :
"Tembea uyaone" nina hakika hili ni miongoni mwa yale nilitakiwa nilione (Peoples with events)
 
hii ni ya kuchakachua hii...watu watume zao salamu!
goodmorning peeps!
 
hii ni ya kuchakachua hii...watu watume zao salamu!
goodmorning peeps!

Aisey Bagah ni hivi, mi nasikiaga kuna
1 kuchakachua
2. kuchakachuliwa
3. kuchakachuana
4 . mchakachuo
Hapa mko No ngapi ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom