Unaweza kutumia mswaki wa mpenzi wako?

Did u have to be so dramatic? utatufanya tuwe tunafikiria mara kadhaa, kha!
Inategemea banaa, ukiwa unampenda na kumuamini mtu hakuna kinyaa. Taulo, underwear, mswaki, kijiko u name it! Ila ukishaanza kuona mashaka, mhh! Haviwezekani.
It's all in the head. Tena denda ndiyo baya zaidi maana unalamba bakteria na kuwameza moja kwa moja toka kwenye chanzo lakini kwa vile hilo tendo mara nyingi hufanyika wakati mtu umeshajitoa fahamu kiaina ndiyo maana inaonekana kama ni sawa.

Sasa mwaski unaweza ukauusuza na ukiusuuza na maji ya moto utakuwa umeua bakteria wengi tu. Sasa kwenye denda wangapi huwa wanasuuza midomo yao kwanza kabla hawajaanza kulambana? Kwa hiyo, kisayansi mimi naona bora mswaki kuliko chungwa, ila hapa kinachohusu zaidi ni muktadha.
 
Did u have to be so dramatic? utatufanya tuwe tunafikiria mara kadhaa, kha!
Inategemea banaa, ukiwa unampenda na kumuamini mtu hakuna kinyaa. Taulo, underwear, mswaki, kijiko u name it! Ila ukishaanza kuona mashaka, mhh! Haviwezekani.

Ndiyo maana nikasema it's all in the head! Ukiweza kujitoa fahamu hakuna linaloshindikana kwenye mapenzi.....teh teh teh...did i ruin your Easter?:)
 
Hahahahaaa.....almanusra nitapike nilipoiona hiyo video kwa mara ya kwanza na ya mwisho. Kilichobaki ni kumbukumbu ya jina tu.

.

Mkuu, NN

Usicheke bwana ... yaani mimi nakwambia yaani kukumbuka tu hilo jina 2 Girls 1 Cup mimi hata hamu ya kukaa kwenye Internet imekwisha! ... ngoja nitoke zangu nikasherehekee sikukuu .. dah! labda mawazo yatabadilika.

NN yaani umeshantoa stimu kabisa za kukaa JF!

Dah! .. JF .. kwaherini kwa leo mpaka kesho!

Dah! .. Dah! ..Dah! .. aagh yaani NN umenifanya ntakuwa nakukumbuka siku nzima ya leo!

Dah! ..

:A S 103:

.
 
Hata chumvini ni yale yale tu. Bila kujitoa fahamu huwezi kuzama. Hebu fikiria, hivi unapozama huko chumvini unakuwa umefanya ukaguzi kama huo mgodi hauna yeast infection?

Na kama unazama gizani, una uhakika gani kama huo mgodi haujaanza ku-leak hedhi? Manake hedhi zingine huwahi kuja au wakati mwingine ziko irregular.

Na unapozama huko mgodini unakuwa umepasafisha mwenyewe? Mara nyingi inakuwa siyo hivyo kabisa. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana unaramba madudu ya kila aina ambayo pasipo kujitoa fahamu huwezi hata kuwaza kufanya hivyo unless uwe ni mmoja wa wale nasty perverts kama wale "two girls and cup".

basi NN usiendelee zaidi usije ukasababisha dada zako tukanyimwa baadhi ya huduma
Maana kwa huu ufafanuz ningekua jibaba sijui kama ningezama tena chumvini.
 
a big, a hugeeee NO....

ila inategemea mtu na mtu, ukiwa na kinyaa kama akina sie miswaki kushare ...hapana....
ingawa kwenye mapenzi kuna vichafu zaidi ya miswaki..
 
.

Duh! Mkuu NN,

Kama kuna Binadamu ambae anaweza kuangalia hata kwa dakika 1 hiyo video 2 Girls 1 Cup bila hata ya nywele kusisimka, kutapika etc - bila kujali kama ni mzungu, mswahili, au race yoyote ile .. basi utakuwa binadamu mwenye roho ngumu sana ... as 2 girls 1 cup is the most horrific shock video I think ever created dunia nzima!

Dah! ... siku yangu ishaharibika kwa kulisikia hili jina tena

Dah! ...Dah! ...Dah! ...Dah! ...Dah! ...

:embarassed2:
.

mkuu NN kipind nipo high school kuna jamaa alichukua demu dent mda wa prepo akaingia nae chemba bila kujua sisitunampiga chabo yeye akazama chumvini.alikuja kushtuka watuwalipo ongezeka walianza kupga kelele za shangwe.lile jambo lilimuathri jamaa watu walimsema sana hadi tukagoma kushare nae chakula,vikombe etc etc kuingia chumvhni yakupasa uwe na akili tahira kama kula majalalani.
 
naona hakuna tatizo kama alivyoeleza Nyani Ngabu hapo juu, mimi mwenyewe nimekua na share mswaki na GF wangu mara kadhaa, nikiwa nimemtembelea anaweza akawa amejikuta amesahau kuja na mswaki Hotel/Lodge niliyofikia so hua analazimika kutumia mswaki hata mimi hivyo hivyo anaweza akawa anakuja kunitembelea tunakutana Lodge/Hotel mimi nakua sijabeba Mswaki kwa hiyo najikuta natumia mswaki wake
 
mkuu NN kipind nipo high school kuna jamaa alichukua demu dent mda wa prepo akaingia nae chemba bila kujua sisitunampiga chabo yeye akazama chumvini.alikuja kushtuka watuwalipo ongezeka walianza kupga kelele za shangwe.lile jambo lilimuathri jamaa watu walimsema sana hadi tukagoma kushare nae chakula,vikombe etc etc kuingia chumvhni yakupasa uwe na akili tahira kama kula majalalani.

.
Unajua mkuu, wewe hujaiona hiyo kitu aliyokuwa anasema NN ... ungekuwa umeona ndio ungejua tunamaanisha nini! ... hiyo unayosema wewe cha mtoto

.
 
Leo nilitembelewa na mpenzi wangu, akaenda bafuni kuoga, mara nikamuona anapiga mswaki
akitumia mswaki wangu, nikashtuka na kumuuliza kwa nini anatumia mswaki wangu? Akanijibu kwani vibaya! Wewe si mpenzi wangu! Kama hutaki nitumie basi hunipendi? Nikazuga kumwambia nakutania.
Hivi wana Jf is it ok kutumia mswaki wa mke/mpenzi wako?? Hakuna madhara? Niutupe mswaki au?
Kinachonifanya nisite kutupa huu mswaki nimeagiza karibuni kutoka Uk na ni bei mbaya (wisdom toothbrush)

Wakuu, huyu jamaa anaweza kutuuliza pia, ''je naweza kumgonga mpenzi wangu?''
 
nah, not really... But I am afraid u have ruined the rest of his life,lol!
Ndiyo maana nikasema it's all in the head! Ukiweza kujitoa fahamu hakuna linaloshindikana kwenye mapenzi.....teh teh teh...did i ruin your Easter?:)
 
Kama denda hujawahi kupiga tupa lakini kama tayari tumia mswaki wako maana kama ni magonjwa tayari unayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom