Unaweza Kupata Mapenzi Ya Kudumu ?

nadhani penzi la kudumu linawezekana lakini linahitaji kila upande kutimiza wajibu wake
 
penzi la kudumu liko,ila msingi mkubwa ni kukubali tofauti aliyekua nayo mwenzio,mtadumu mpaka mmoja afe,ila kwa swala la bikra unatagemea mtu akikuta nayo ndo atakufanya wa daima wazo hilo futa kichwani,ila tabia ndo msingi wa penzi lenu kudumu,
 
Back
Top Bottom