Unaweza Kupata Mapenzi Ya Kudumu ?

Ukweli nina mwenza,nakuombea na wewe upate mwenza maana hamna mtu anayetaka kuwa peke yake (sikiliza hata wimbo wa nobody wants to be lonely-ricky martin christina aguilera). Again, all the best UW!..
Asante kwa kushukuru,you're welcome!

NB:Unaweza kupata mapenzi ya kudumu na yapo!
akatafute dildo.....
 
Asante sana bibie, you are a darling.

Subira huvuta heri, nasubiri kupata mke mwenye mapenzi ya kweli na ya kudumu. Mimi nina mapenzi ya kweli na ya kudumu, nitampatia.

UW thank you. Ni kweli pia subira huvuta heri,usisahau kushare first experience imekuwaje utakapompata mwanamke mtakayerandana.
Uwe na wakati mwema..bai bai
 
UW thank you. Ni kweli pia subira huvuta heri,usisahau kushare first experience imekuwaje utakapompata mwanamke mtakayerandana. Uwe na wakati mwema..bai bai

Bellies never again respond to this guy UW, hes a crap! Umenisoma.....honey!
 
Bellies never again respond to this guy UW, Umenisoma.....honey!

Umechelewa, I have had a nice time with her. She is tender and lovely, I enjoyed the exchanges.

Belinda hachagui wala habagui. May all the blessings shower on her.

You have a nice time too, Belinda, bai bai.
 
Umechelewa, I have had a nice time with her. She is tender and lovely, I enjoyed the exchanges. Belinda hachagui wala habagui. May all the blessings shower on her. You have a nice time too, Belinda, bai bai.

Unapenda mipasho, tupeana heshima mkuu! I have warned you
 
Unapenda mipasho, tupeana heshima mkuu!

Sio mipasho, ni katika kukueleza tu kwamba mtoto Belinda mashaallah, she is such a darling.

I have enjoyed every fraction of a second exchanged with her.

Sipendi mipasho na wala siijui. Nakuheshimu kama unavyoniheshimu mkuu.
 
Sio mipasho, ni katika kukueleza tu kwamba mtoto Belinda mashaallah, she is such a darling.

I have enjoyed every fraction of a second exchanged with her.

Sipendi mipasho na wala siijui. Nakuheshimu kama unavyoniheshimu mkuu.

Shukrani UM na uzingatie sana ushauri..

My Dear Masa, relax maana nimetoa mawaidha ya kawaida katika ulimwengu wa mapenzi kwa mwenzetu UM kumsaidia. Naamini atafanikiwa na kuamini kuwa mapenzi ya kudumu yapo hapa duniani. Mvumilivu hula mbivu..
 
Unaweza kuitunza bikira ukipenda! na utunzapo ndo watu watazidi kukupenda! lakini ukae ukijua wengi utazidi kututoa udenda! na isije ikaja tokea wenye nazo wanatakiwa ili maisha yaweze kwenda! hivyo jilinde na uwe makini kwani hata njiwa mkubwa alitaka endelee kuwa kinda' kwani angelipata chakula kwa mamaye bila kujipinda! siku moja akawaza je? ni bora hapa tunduni au nipae iwe ni tabu kuniwinda! chaguo ni lako ukae usubiri au utafute unachopenda
 
BAK siyo hivyo,ukimsoma vizuri Bikra mwenyewe utacheka for sure!
Name: Bikra
status:Searching 4 true love
Location:Mwilini-Kokote
Ndo maana nikamjibu vile ukijumlisha na mada pia kuzidiwa kwa nguvu kwakuwa yupo peke yake,LOL!..Nonino, ha ha ha


Haya nimekuelewa bikra ziko nyingi :) mpaka za masikioni ha ha ha ha
 
Watu wengi wenye sifa duniani hawajawahi kupata mapenzi ya kudumu. Kesi yako inaweza kuwa tofauti.​











Inaonekana kwamba ndani yetu kuna nafasi kubwa ambayo haiwezi kujazwa na wachumba mia. Hata hivyo kuna tumaini. Ndoto lako linaweza kutimizwa.
Thubutu kufikiri
Mwanamke anafaa kupendeza kiwango gani kumfanya asitake upendo tena? Mwanaume anahitaji kuona vipusa wangapi uchi kabla ya kujisikia kama anapendwa? Kila kitu ndani yetu inalilia upendo! Sote tunatafuta upendo, hakuna kitu kinachoweza kuchukua nafasi ya upendo. Wanasayansi na madaktari wamethibitisha kwamba watu wanaofuata umalaya, na aina za ngono zisizo kawaida huwa wanatafuta upendo wa kweli.
Hata hivyo kupata upendo ni jambo tata. Sura mzuri hunyauka. Mchumba hugeuka. Ndoa inaweza kuvunjika mkeo/mumeo akifa. Na uchungu utakayo hisi huzidi kama upendo kati yenyu ni kubwa zaidi.
Ukweli kwa wengi hutisha sana, lakini matarajio yetu huwa hazishikiki! Matakwa yetu ya ndani kabisa huonekana kuwa mbali sana hadi sisi hujaribu kuvikana. Kana usikane, kubali ukatae matarajio yetu hubaki ndani yetu.
Kwa muda mfupi tu, hebu tazama matarajio yako...usijali ugumu wa kuzipokea. Angalia matarijio yako, ona kile zinakuambia.
Unamtaka mtu ambaye:
* atafanya usikie kama umeheshimika
* anakuamini na unamuamini
* hamna siri kati yenyu
Kwa ndani unatamani mtu mwenye:
* werevu, nguvu, uzuri usionyauka hata akizeeka
* anajua yote ambayo umepitia maishani na hata alikuwa na wewe
* atakuelewa kabisa kila wakati
Unamtaka mpenzi yule:
* atatimiza mahitaji yako kikamili, yani ni kama mliumbwa muwe pamoja
* anasikia uchungu na wewe na anweza kukusaidia hata kuharibike vipi
* anajuauovu wako, fikira zako na bado anakupenda na anakuheshimu
* anaweza kuwa na wewe mahali popote wakati unamhitaji
* atakupenda daima na mapenzi kuu yenye kukufurahisha na kukutosheleza
* anakusaidia kila wakati na kukuwezesha kufanya makuu
Unahitaji mtu atakaye kusaidia kila wakati, lakini anakupatia nafasi ya kukuwa kibinafsi; mtu ambaye hatakuchosha, na ambaye hatawahi kugueka.
Mwishowe, liwe liwalo, unataka kuwa huru kutokana na uwoga wa kumpoteza mpenzi wako. Unataka mpenzi ambaye hata wahi kugonjeka, kulemaa au kufa.
Ninayosema inaonekana kama upumbavu!

Kwa yote uliyoyasema kuna jibu moja tu. Go to the source of love. Hii void ipo kwa kila kiumbe bahati mbaya sana majaribio na matamanio ya wanadam kwakutumia akili zao hazijawa wahi kuiziba hii void; wengine hudhani money could help wakazitafuta na walipozipata it has never satisfied them; wengine wakadhani sexual relations of various type men to women; same sex; using other organs artificial and natural yet bado wakaona haifai kitu; wengine wakaamua kubaki single or with parents relatives for they would love them truely yet wakawa disapointed. Wengine wakadhani wasome na kufanya vumbuzi na kupata fame in all areas of life. Inshort all these efforts led to disapointments and made those who were after depresed and disapointed confused and lost hope of life. Some commited suicide others pretended to be satisfied while inside denying themselves of the realities of this existing void of true love.

Moreover until now at least one theory is holding water into this realities and that is all human beings need to worship something inorder tofill in that void and the worship is more of spiritual other than physical action. The question is who is to be worshiped to get true love? Here there is a lot of variations although all these at later stage vonverge into what is being called God. Other say there is one God some say there are several gods and other claim their specific god to be the true God so far none has proved beyond doubt which is which and who is who as far as worship and God theories are concerned.

At least for me as an individual I have faith in YAHWE who is now days known as Emanuel who came in form of a human being. This was given a name Jesus to establish a church of Jesus christ. The name of that body which is institution is Christ that the head is Jesus and the body is church both head and the body has one name christ meaning the anointed one. In this fellowship I experience true love in all life circumstances. Whenever I fell lonely I ask for the holyspirit companion whenever any humanbeing disapoint me even the so called husband I ask for wisdom on how to deal with that person and ask the hollyspirit to influence the mind of that person to suit my desires. With this love I am a master of all circumstances and fear is nolonger with me as I have in permanent felowship with the "true love" which is christ himself described as above. So to me I have the password for life in whatever I wish to have or do. My strugle has only remained into my mind to make it subject and under authority of the christ.

Nadhani nimejaribu kueleza how one can get true love. If you want to try in my ways just go on. If you dont then keep on trying other ways and see if you'd find one but if at all you find none and nowhere to love dont hasitate to try this option. Its through trying one gets to the optimal position/solution and that is scientifically proven thats why we build hypothesis and try to validate them to come up with facts.

Good luck and be blessed Bikra.
 
Last edited:
Jamani bikra kumbe dili kha! lakini mbona mabikra iwa mnaishiwa kuachwa baada ya kuzinduliwa?
 
Jamani bikra kumbe dili kha! lakini mbona mabikra iwa mnaishiwa kuachwa baada ya kuzinduliwa?
hujakutana na bikira since day one mpaka leo kitu mnato......tatzio moja la bikira mkuu huwa zinaganda sana hawataki uwaache ukiwa mtu wa kula na kutimua utapata shida.....
 
shem huyo Elton John aka UM anpenda kudandia dandia sana sijui ana matatizo gani...

Mzee wa mipasho huyu....nikumsamehe ili nature iwe ballanced....anamatatizo ya pyschologia.....Bellies hatomjibu tena huyu Elton John
 
watunzaji wengi wa bikira huwa at the end wanabugi kabisa mtu ambaye angefaa kuizindua.
mi nilkuwa nasikia pale chuo story. mtu ambaye mnmjua kabisa kiwembe sana. wale madada wenye bikira zao hadi chuo. leo utasikia anajisifu:kumbe yule dada alikuwa na bikira kesho yule kesho kutwa yule. kwa hiyo bikira huwa haziwafikii walengwa hata siku moja.

pili ndoa nzuri haimaanishi lazima itokane na mke mwenye bikira. tena hao wenye bikira ukianza nao ndoa siku wakiharibika wanaharibika jumla. lakini unaweza ukoa mke ambaye tena ana mtoto na bado ndoa yenu ikawa njema yenye raha na yenye upendo tele.
 
Back
Top Bottom